kuvunja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mniambie kama si roho mbaya kuvunja Bilicanas, basi ni nini?

    Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo. Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake. Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock. Nimepita hapo leo, ni parking...
  2. Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

    HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA Na, Robert Heriel Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba. Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo; 1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani 2. Wanasiasa upande wa Zanzibar. 3...
  3. Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

    Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu. Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na kukubambikia madawa ya kulevya, walipoona haupoi, wakaamua kukubambikia kesi ya kubumba. Hawa CCM...
  4. M

    Rais kuzuia mchakato wa mabadiliko ya Katiba ni kuvunja Sheria

    Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo. Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012. Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
  5. Waziri wa afya wa Uingereza ajiuzulu kwa kuvunja sheria za corona

    Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye. Gazeti la The Sun...
  6. Namna simu za smartphone zinavyochangia kuvunja ndoa

    Habari za mchana wakuu, Kama kichwa ca habari chahusika hapo juu. Simu ni kifaa muhimu kwa ajiki ya mawasiliano baina ya watu mbalimbali. Mbali na mawasiliano simu imewaleta watu karibu na kuwa kitu kimoja aidha kwa kuanziamsha urafiki, mahusiano n.k. Kutokana na mapinduzi makubwa ya sayansi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…