kuuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi ya kuomba zuio la Mahakama (temporary injunction) kuzuia mali yenye mgogoro isiharibiwe, kuuzwa au kupotea

    Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa? Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio la muda mfupi Mahakamani ikiwa utaona mali inayobishaniwa kwenye kesi iko hatarini kupotea au...
  2. Utitiri wa Maduka kuuzwa nini chanzo

    Habari wadau Kipindi hiki kumekuwa na tendency ya watu wengi kuuza maduka yao, Kila nnapotembelea Market place facebook kila baada ya post moja unakuta duka linauzwa. Maduka mengi yanayouzwa ni ya dawa, nguo, chakula nk. Je nini chanzo cha maduka mengi kuuzwa kipindi hiki?
  3. L

    Mashamba kuuzwa morogoro

    Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au mwenye mawasiliano na mwenyeji wa maeneo hayo naomba anisaidie kunijulisha
  4. Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

    Kwema Wakuu! Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai. Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali. Miongoni mwa...
  5. Sukari yaanza kuuzwa kama Bangi mtaani

    Sukari sasa imeanza kuuzwa kwa mfumo kama wa biashara haramu katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni siku ya saba tangu Serikali ilipotangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo. Waandishi wa Mwananchi wamebaini baadhi ya maduka yanauza bidhaa hiyo kati ya Sh4,000 hadi 5,000 kwa kilo kwa wateja...
  6. Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni...
  7. Bunge Linaweza Kuuzwa?

    Kwamfano nikiwa na hela, nikapenda eneo ambalo bunge limejengwa naweza kununua na kufanya miradi yangu kama vile ufugaji wa kuku wa mayai, njiwa nk? Kama hairuhusiwi ni kwa mujibu wa sheria gani? Kama inaruhusiwa natakiwa kuanzia wapi? Asanteni.
  8. Pipi kifua kuuzwa Tsh 1000

    Jana nimeenda kununua nikakuta inauzwa 1000 nimeludi bila kugeuka jamn twambiane ni kwann zimepanda bei
  9. I

    Hii maana yake nini? Ndio tunaenda kuuzwa rasmi?

    I think this is the poorest decision She has ever made? Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi. Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na waziwazi.
  10. Simu za oppo kuuzwa kwa bei chini

    Kwa miezi takribani mitatu iliopita tumeshuhudia simu za oppo zikianza kuuzwa kwa bei ndogo kuliko kawaida kwenu wataalamu wa simu mnafikiri inatokana na nini?
  11. Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

    Wasalaam nyote, Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons. Msitarajie huruma haitatokea...
  12. Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  13. Nini kinafanya hoho nyekundu na njano kuuzwa ghali kuliko za kijani?

    Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja ni elf 3....lakini hoho nyekundu na njano moja inauzwa elf moja. kwanini ni ghali, au kilimo chake...
  14. CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
  15. M

    Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

  16. Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  17. R

    Lema: Unapokuwa na viongozi mawazo yao ni uchaguzi na sio kizazi kinachokuja figo zenu zitasainiwa kuuzwa China

    Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi. Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
  18. Mayele Kuuzwa Bilioni 3.6 AS Vita Kuchota Milioni 800

    Sioni kama katika siku za hivi karibuni kutatokea na mchezaji nchini Tanzania atauzwa kwa kiasi cha zaidi ya Bilioni 3.6 kumzidi Fiston Kalala Mayele. Yanga SC wameingiza mpunga mrefu zaidi kwa mauzo ya Mayele kuliko thamani ya Mkataba wa msimu mmoja wa Simba na Sandaland. 3,645,000,000...
  19. Kwa kukabidhi bandari tumemkufuru Mungu. Awezaye kuomba na aombe sasa maana ghadhabu ya Mungu ipo juu yetu

    Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina ya bidhaa. Ardhini akawawekea wanyama ili mkiwatumia na kuwahifadhi mpate fedha za kuishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…