kuuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makimuda255

    JamiiForums Tanzania Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

    Masama Kilimanjaro inasemekana kuna shule za kiislam mbili zimeuziwa maji ya wananchi yote jambo ambalo limesabibisha wananchi kukosa maji tokea 2014 na kwasasa ni mwezi maji hayatoki Katika tarafa ya masama kuna kijiji kinaitwa Kijiji cha Mudio ambapo eneo lijulikanalo kama kijiji cha Kimira...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Askofu Mpemba amjibu RC Amos Makala kuhusu nchi zilizowahi kuuzwa....

    Askofu Mpemba hakutaka kukurupuka, aliingia huko huko alikoingia Makala wa CCM with facts. Ametaja nchi kadhaa kwa ukubwa, mwaka iliuzwa, kiasi, na Wanunuzi. Kwahio kwa hitimisho, tuna RC Kilaza saaana sana. Unaweza kufuatilia video hii.
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Ukipewa hela jiulize kwanza zimetoka wapi isije kuwa na malipo ya kuuzwa wewe mwenyewe

  4. demigod

    JamiiForums Tanzania Simba SC msishindane na Yanga SC mnapoteza concetration kwenye Ubunifu

  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji Pombambili wafanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi

    Wanakijiji wa Kijiji Cha Pombambili, wamefanya kongamano kupinga kuuzwa kwa Messi kwenda PSG. Kongamano limefanyika leo kijijini hapo na kuhudhuriwa na mashabiki wengi sana wa Barcelona wakiwa wamevalia jezi zao maridadi. Kwa kweli wameumizwa sana
  6. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Gesi mnayopiga kelele kuuzwa Kenya haitatumika kwenye Viwanda vya Tanzania?

    Kwani hii gesi haitumiki au haitatumika kwenye viwanda vya Tanzania? Kama inatumika au itatumika kwenye viwanda vya Tanzania tatizo lipo wapi? Kwani kuna ubaya gani kama una chakula cha kutosha nyumbani kwako ukaamua kumuuzia jirani yako ili kupata pesa ya ziada kufanya mambo yako mengine? Kama...
Back
Top Bottom