kuuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

    Mwana JF hapo ulipo na familia yako mnaweza kuitikia huo wimbo. Hata kama ni bar mnakula bata ambia DJ apige song
  2. The Father of All

    Wanaoukubali mkataba wa makubaliano na wanaoupinga nani wana haki?

    Ni aibu kuwa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60, hatuna uwezo hata wa kuendesha bandari zetu kwa ufanisi. Najua inauma. Hivi karibuni kumekuwa na mgawanyiko mkali baina ya watawala walioamua kubinafsisha/kuuza bandari zetu kama ni kweli na wale wanaopinga wakiwatuhumu ufisadi na kutojali mali...
  3. Mwande na Mndewa

    Tundu Lissu: Ukiona mtu anatetea mkataba huu wa kuuzwa kwa bandari basi hana akili au amehongwa

    "Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa. "Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo. "Hao watu wanaotetea ndio wanatetea kuuzwa kwa bandari zetu, jibu ni nini, hawana akili au wamehongwa. "Tusiruhusu...
  4. B

    LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
  5. FRANCIS DA DON

    Ombi la kusitisha mashambulizi kwa muda wa masaa 72 juu ya sakata la Tanganyika kuuzwa kwa DP World

    Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa. Imefika wakati najiuliza, is she being ‘black mailed’?, kwamba she has no choice? Au amekuwa...
  6. BARD AI

    Serikali yapiga Marufuku matumizi na biashara ya 'Vumbi la Kongo na Akayabagu'

    Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake. Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
  7. Suley2019

    Waziri Bashe: Serikali haijazuia kuuza mazao nje ya Nchi, imezuia Watu kufanya biashara bila kufuata utaratibu wa kisheria

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijazuia kuuza mazao nje ya Nchi isipokuwa imezuia Watu kufanya biashaea bila kufuata utaratibu wa kisheria . Bashe ametoa kauli hiyo June 21, 2023 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara...
  8. S

    Serikali kuzuia mazao ya chakula kuuzwa nje inakwepa majukumu yake na ni uonevu mkubwa kwa wakulima

    Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika). Kinyume chake nchi inaweza kuingia ktk machafuko. Mfano, serikali ya Al Bashir wa Sudan iliondolewa...
  9. Dr Akili

    Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha...
  10. Idugunde

    Kama Tanzania haiwezi kuuzwa kwa nini kuingia mkataba kama huu kwa yanayowezekana?

    Kwani suala si kuongeza ufanisi kwa kuwa na miundo mbinu ambayo inaweza kusababisha kupitisha tani elfu 58. Je, hatukuweza kutafuta namna ya kupata njia ya kuboresha miundo mbinu? Bandari ni eneo la meli kutia nanga na kuweza kushusha mizigo. Hapa ni kuwa eneo la kutosha na vifaa vya kisasa...
  11. UmkhontoweSizwe

    Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu. Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake? Mimi...
  12. Tindo

    Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

    Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
  13. peno hasegawa

    Ni nini msimamo wa CCM kuhusu kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam kwa Waarabu?

    Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman. Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe? CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla...
  14. saidoo25

    Mkazi wa Songea amuandikia barua Spika wa Bunge kupinga bandari kuuzwa

    BRAHIM JEREMIAH S.L.P 602 SONGEA 06/06/2023 KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE 10 BARABARA YA MOROGORO S.L.P 941, 40490 TAMBUKARELI DODOMA YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD Ndugu Husika na Kichwa cha barua hapo Juu, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na...
  15. MzeeKipusa

    Vijana kufanya Maandamano kupinga Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na kampuni ya DP World ya Dubai

    Kimeumana! Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World. Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
  16. Brain Kingdom

    Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  17. TODAYS

    Wamesusa Mabehewa ya Ghorofa yaliyofika, Watanganyika wanalia kuuzwa kwa Bandari yao

    Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania. Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda. Gafla wakatoa mkeka wa...
  18. Sildenafil Citrate

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  19. peno hasegawa

    Tetesi: Jimbo la hai kilimanjaro: Mbunge wao kukosa ubunge 2025 kwa kukubali kuuzwa kwa Bandari ya Dar es Salaam

    Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam. Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai. Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
  20. J

    Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

    SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu. ============== Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya...
Back
Top Bottom