kuuza

  1. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Salam Wakuu, Ninapenda kujua ni mtaji kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza icecream. Mchanganuo huo uhusishe gharama za kununua mashine ya utengenezaji, mashine ya kuhifadhia pamoja na mali ghafi. Asante kwa msaada. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMU BIASHARA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…