Amazon wamelaumiwa kwa kuuza vidonge vya bikra feki

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,125
Mtandao wa Amazon umelalamikiwa huko India kwa kuuza vidonge vya kusababisha bikra feki.

Vidonge hivyo ambavyo vinajulika kama i-virgin: blood for the first night vinakuwa na unga mwekundu ambao mwanamke anatakiwa jiwekea sehemu yake ya siri na akienda lala na mwanaume basi wakati wa kujamiiana kikichanganyika na ute wa kwenye uke itaonekana kama damu inatoka.

Hii kupelekea mwanaume kuhisi mwanamke ndio mara yake ya kwanza jamiiana (bikra).

Kampuni imekumbana na malalamiko mpaka kuamua ondoa matangazo ya vidonge hivyo kwenye mtandao wa Amazon India.

1.png
EJL_daMXsAA3zoT.jpeg
Untitled-design152.jpg
Untitled-design150.jpg
Untitled-design153.jpg


Lakini kwingineko vinaendelea patikana kupitia mtandao mama wa Amazon.com

uzi tayari.
 
Back
Top Bottom