kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Moto Wateteketeza Bidhaa za Wafanyabiashara Karibu na Soko Kuu Katavi

    Moto mkubwa umeibuka katika maeneo ya karibu na soko kuu lililoko manispaa ya Mpanda mkoani Katavi na kuteketeza mali zinazotajwa kuwa na thamani ya Shilingi milioni tano ambapo jeshi la zimamoto na uokoaji limefanikiwa kuuzima moto huo. Shabani Hassani ni shuhuda wa kwanza kuuona moto huo na...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoto niliyoiota alfajiri ya leo imeniogopesha sana, sidhani kama ilikuwa ni ndoto ya dhiki kuu ijayo Tanzania

    Nimeota tumepewa paund 200 na bibi yangu, kila mmoja, mama yangu, mimi na mdogo wangu. Niko kwenye eneo kùbwa la wazi, ni kama karakana, supervisor mzungu akanifuata akaniambia niondoke hapo mara moja. Hali ni mbaya sana nitafute eneo salama. Nikaingia ndani ya nyumba, na mara ghafla mvua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Benki Kuu anzisheni Bondi maalumu kwa diaspora

    Mimi kama diaspora nimeona fursa kubwa sana kwa nchi yetu na bank kuu yetu. Kwasasa hakuna utaratibu wowote wa kumwezesha; 1. Diaspora kurudi nyumbani miaka ya baadae kwa kuwekeza nyumbani. 2. Utaratibu wa serikali kupata pesa za uhakika kutoka kwa diaspora. Sasa nini kifanyike; 1...
  4. JamiiForums Tanzania MTU anaaweza akapigwa juju mambo yake yakasimama? Tiba kuu pamoja(kisuna) na Dua kwa mungu. Naomba msada wenu wa kitaalam

    Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini. Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate. Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni...
  5. JamiiForums Tanzania Je, tatizo Kuu la Kizazi cha Kupambana Kimaendeleo, Kujinyima na Kivumilivu haliwezi kuanzia huu Utafiti wangu Binafsi?

    95% ya Watoto wa Kitanzania hasa waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi leo (sasa) wanapenda zaidi Kula Ubwabwa (Wali) na Kuuchukia kabisa Ugali (GENTAMYCINE ninaoupenda) uliotukuza Kaka na Dada zao Geniuses tuliozaliwa kuanzia 1989 kurudi nyuma. Wazazi wa sasa nawashaurini kwa nia njema tu...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kujenga Barabara Kuu Musoma Vijijini kwa Kiwango cha Lami

    SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri Innocent Bashungwa alifanya ziara ya kikazi Musoma Vijijini kwa lengo la kuwatoa wasiwasi wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu. Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders. Tunaomba Mahakama immulike...
  9. JamiiForums Tanzania Kulikoni tena zile Tano Tano za katika Ligi Kuu na Kimataifa zimepungua na sasa ni mwendo wa Moko Moko tu kote kote?

    Taratibu sasa Watu wanaanza Kumsoma Kocha wenu ambaye kwa 80% anatembelea Nyota ya aliyekuwa Kocha wenu wenye Hasira na ambaye akihojiwa anachanganya Kifaransa, Kiswahili, Kindengereko na Kiingereza.
  10. JamiiForums Tanzania Yanayojiri Ligi Kuu za Ulaya. Ligi ya Uingereza (EPL), Hispania (Laliga), leo Septemba 30, 2023

    Habari, Karibu tupeane updates ya mechi mbalimbali za Ligi za Ligi Kuu za nchi za Ulaya leo Septemba 30, 2023. EPL Aston Villa 6 - 1 Brighton (FT) Bournemouth 0 - 4 Arsenal (FT) Everton 1 - 2 Luton (FT) Man U 0 - 1 Crystal Palace (Cont) New Castle 2 - 0 Burnley (FT) West Ham 2 - 0...
  11. JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini. Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo sio uhaba wa umeme nchini. Tatizo kuu ni mazoea tuliyojijengea

    Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe! Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!? HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Siri nzito Kamati Kuu ya CHADEMA ikikutana zaanza kuvuja

    Kama tulivyosema hapo awali, kishindo cha Kamati kuu ya CHADEMA, afadhali hata ukutane na tetemeko la ardhi. Japo ukimya umetanda lakini cheche zake zimeanza kubabua baadhi ya watu. Usithubutu kuondoka JF kuanzia muda huu ili usipitwe na jambo zito!
  14. JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi kadhaa wa mataifa ya Afrika katika mkutano wa kila mwaka wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa

    Miongoni mwa waliosimama jukwaani kuhutubia alikuwa ni rais Paul Kagame wa Rwanda. Alijikita kuzungumzia mzozo wa madeni unavyoyatia kitanzi mataifa yanayoendelea na kuyapunguzia kasi ya kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu ikiwa ni pamoja na kutokomeza umasikini. Amesema sababu ya hali hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Inasikitisha: Tazama hali ya miundombinu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Picha ya kwanza chumba cha wahudumu picha ya pili Wodi ya wagonjwa Pia Soma = Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar
  16. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Dar es Salaam

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Kamati Kuu ya chadema, ambayo mara zote ndio inayotoa Dira ya Taifa na Mwongozo wake, inakutana tena Jijini Dar es Salaam. Sasa kwa hali hii ya Mgao wa Umeme, bei na uhaba wa mafuta, Mkataba wa Bandari, Katiba mpya, Tume huru ya Uchaguzi, Maridhiano na mengine...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la UN UNGA- 78 Makamu wa Rais wa Tanzania kutoa mada

    17 September 2023 UMOJA WA MATAIFA, NEW YORK DR. PHILIP MPANGO MKUTANO WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA UNGA-78 SEPT.2023 Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuanza tarehe 18 September 2023 chini ya rais wa Baraza hilo Balozi Dennis Francis kutoka Trinidad na Tobago. Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania Kanisa Kuu mbadala wa St. Joseph kujengwa Gezaulole, Jimbo Kuu - Dar es Salaam

    Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4. Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo Vituo vya njia ya msalaba Minara midogo 12 Sakastia 3 Maaskofu 1 Mapadre 2 Waministranti 3 Box...
  19. JamiiForums Tanzania Ligi kuu 2023/24, Timu zipi ni matawi ya Yanga na Simba

    YANGA Singida SIMBA Coastal Mtibwa Namungo Ihefu Tuendelee
  20. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Madeleka apata dhamana

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Boniface Semroki kwa niaba ya Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Yohane Masara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…