kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wakati umefika wa kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia

    Nimepitia matokeo ya NECTA kidato cha pili na kugundua jambo lifuatalo. Shule za Kata zina ufaulu hafifu sana (mwingi ni wa daraja F) katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili. Somo la Kiswahili ndo limezibeba shule za kata zisitumbukie shimoni kabisa. Mifano michache ni hii hapa (ikiwemo...
  2. TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

    Ila bado tunahitaji ufafanuzi wa hicho mnchoita thamani ya forodha na mjiongeze kwa kuweka sheria na kifungu husika kinachowaongoza kutenda haya ambayo yanaliza watu kila siku
  3. Tetesi: Vyuo vikuu kutumia case ya Fei Toto kama reference kufundishia law of contract

    Tofauti na case ya Benard Morison ambaye case yake ilikaa kimagumashi. Kwamara ya kwanza case inayohusisha mikataba itatoa precedent kutoka kwenye mpira wa miguu, Young African Sports Club VS Feisal Salum Japo swala lake liliamriwa na TFF ambayo ilijivika kuwa tribunal .tofauti na...
  4. D

    Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu! Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
  5. Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

    Ndio hivyo. Napata habari za siasa. Napata habari za sports. Napata habari udaku. Napata habari za umbea gossip. Napata habari zaidi ya kwenye magazeti. Tena news ambazo ni hotnews
  6. Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  7. Jinsi ya kutumia Fujitsu obvious recorder kwenye nyumba

    Wakuu naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kutumia kifaa cha kurecodia matukio ya kwenye gari kama security ya nyumbani. Je inawezekana kutumia king'amuzi pamoja na camera zake toka kwenye gari kurekodia matukio yanatotokea nyumbani kama mbadala wa CCTV?
  8. Msaada jinsi ya kutumia Mtandao wa Twitter

    Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
  9. Ubora wa Kylian Mbape ni kutumia matone ya Vitamin A na Minyoo

    Mchana mwema❗❗
  10. TPA kuanza kuendesha eneo la TICTS Januari 2023

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema kuanzia Januari Mosi, 2023 mamlaka hiyo italiendesha eneo lililokuwa likitumiwa na Kampuni Binafsi ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS). Kauli hiyo, imetolewa leo Jumatano Desemba 21, 2022 na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Juma Kijavala...
  11. Mtu anayeharisha anaweza kutumia soda?

    Habarini wakuu. Kumekuwa na imani potofu kuwa mtu anayeharisha hatakiwi kutumia vitu kama soda na juisi. Utasikia, "Usimpe soda huyo anaharisha." Ukweli ni kinyume chake. Mtu anayeharisha anapoteza madini nw maji mengi sana. Na mara nyingi hii ndiyo hupelekea kufa, hasa kwa watoto. Kwa hiyo mtu...
  12. Bank makes you poor

    Banking, Have you ever looked at how much money you give your bank every year? This doesn’t just include the commission you pay your bank for commission and not to mention those dreaded overdraft fees. Think about it, if you average ten overdraft fees a month and each charge is $33, you are...
  13. Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

    Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme. Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
  14. S

    Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
  15. Tanzania kuanza kutumia Mita za Nauli kwenye Taxi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwenye Teksi ambazo zitawawezesha wateja kulipa nauli kulingana na umbali waliosafiri. Vifaa hivyo vipya vya kiteknolojia vinatarajiwa kufungwa kwenye magari hayo kabla ya Juni 2023, hatua...
  16. Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  17. Tumekwenda Marekani kufundishwa kutumia ardhi yetu kwa kilimo au kuiba teknolojia ya kuongeza mnyororo wa thamani kwenye bidhaa zetu!?

    Wakenya wanaongoza kwa kununua bidhaa za Tanzania, lakini ni bidhaa ambazo hazijaongezwa uthamani, malighafi (raw material) na Kenya wanaongoza kwa kuziongeza uthamani bidhaa hizo na kwenda kuziuza Dubai, Ulaya, Marekani na zinazobaki wanazileta tena kutuuzia Watanzania, nafurahi kuwa tumekwenda...
  18. Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49). Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
  19. Hata kama majigambo ni asili yao ila hii imezidi sasa, ni kabila gani hili wemeanza sifa za kuzika kwa kutumia crane?

    Ukisikia sifa zinaua ndio huku, Hapa kwa mporomoko huu wa jeneza sijui kama waliodondokewa na jeneza walipona? Humo kwenye jeneza mwili wa marehemu ushavunjika vunjika kwajili ya hizi sifa. Utasikia kisingizio ni jeuri ya pesa lakini ukifatilia unakuta pesa zenyewe ni mshahara wa kuajiriwa...
  20. Amkeni: Niambie unafanya biashara gani nikusaidie kupata fedha zaidi kwa kutumia mfumo wa sayansi ya fedha na biashara

    New update . . . . 25.12.2022 Merry Christmas and Happy New Year 2023. Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace? . . CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi. . . Watu wamejiunga kwenye mfumo huu, ili kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…