Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2022
1,689
3,267
Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme.

Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye umeme sababu umeme wa radi unaweza kusafiri kupitia waya. Mambo ya kuzingatia kuepuka kupigwa na radi ni kuhakikisha upo ndani ya nyumba kadri inavyowezekana.
 
Back
Top Bottom