kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Wanaume wengi hatupendi kutumia kondomu

    Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea. "Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke...
  2. Makamba Ayataka Makampuni ya BIMA Nchini Kutumia Fursa Katika Sekta ya Nishati

    MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata. Wito huo umetolewa tarehe 15 Julai, 2023...
  3. L

    Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

    Ndugu zangu watanzania, Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
  4. Kwa maana waalimu mpaka leo hawajui kutumia vishikwambi? Mbona wana hang nazo mitaani?

    #HABARI: Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Dkt. Charles Msonde amewataka Maafisa Elimu Kata (MEK), kuwasimamia na kuwasidia Walimu namna kutumia vishikwambi walivyopewa kuwezesha ufundishaji na ujifunzaji, ili kuinua ubora wa elimu nchini. . Dkt. Msonde ametoa maelekezo hayo...
  5. Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

    VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
  6. Nilivyoacha pombe kwa mara moja kwa kutumia psychedelics

    Habari zangu ni nzuri na zilizojaa furaha baada ya kufanikiwa kuacha pombe. Kama mtumiaji mzuri niliyokubuhu wa pombe takriban miaka mitano nilikuwa na pambana sana na nafsi yangu kuacha hii kitu, nikijitahidi sana naweza kukaa wiki ila nilikuwa nakunywa kila siku. Kwa kuhangaika kwangu...
  7. M

    Chama au Selikali kutumia nguvu kubwa kupendwa

    Ukiona Chama au selikali, huwa inatumia nguvu kubwa kupendwa basi jua kwamba imejaa madhaifu makubwa Na ndiyo stairi inayotumi chama cha CCM na selikali yake, wamechoka hawana mbinu mbadala tena zaidi ya kutetea ujinga na matumbo yao, Nauona mwisho mbaya kwa inchi ya Tanzania, sababu viongozi...
  8. Ushawahi kutumia mbinu chafu kufaulu masomo?

    Uhali gani mwanaJF, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kuanzia shule ya msingi mpaka a-level nilikuwa mtakatifu (Clean student) nikifaulu kwa juhudi zangu. Hali ilibadilika baada ya kuingia chuo kikuu. Nikaanza kuwa muhuni na kuwa top cheater nikitumia mbinu zufuatazo I) Kuandika mkononi au...
  9. Hivi ni Mabunge yote duniani Mbunge akisimama badala ya kutumia muda wake vizuri ni lazima aanze kumsifia Rais?

    Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge. Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali? Inawezekana Mimi ndio...
  10. Kijana wa Kiume Unaejua kutumia Computer vizuri unahitajika

    Sifa Ujue kutumia computer vizuri Ujue kupiga window na kugundua tatizo computer inapo misbehave Ujue kusolve matatizo yatakayojitokeza endapo computer italeta mushkeli Uwe na wadhamini Majukumu Kuingiza Movie na Nyimbo kwa Wateja Mshahara 250,000 (kwa mwezi) OFISI ilipo Dar es salaam -...
  11. L

    "Kuacha kutumia dola ya kimarekani" imekuwa maoni ya pamoja ya nchi za Afrika

    Hivi majuzi, video iliyomuonyesha Rais William Ruto wa Kenya akitoa hotuba katika bunge la Djibouti imeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Ruto aliuliza kwa kejeli: Kwa nini tunatumia dola ya kimarekani kwenye biashara kati ya nchi za Afrika? Baada ya kauli yake hii...
  12. Nawezaje kutumia mifumo ya computer kurahisisha kurekodi mauzo, madeni na kuhesabu mzigo

    Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia. Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia huwa nauzia hapo kwa order kubwa kubwa. kuna mtu wa kazi ndie nimemweka hapo awe anafanya stock...
  13. SoC03 Elimu Ndiyo Silaha Yenye Nguvu Zaidi Ambayo Unaweza Kutumia Kubadilisha Ulimwengu

    ELIMU NDIYO SILAHA YENYE NGUVU ZAIDI AMBAYO UNAWEZA KUTUMIA KUBADILISHA ULIMWENGU Imeandikwa na: MwlRCT I. Utangulizi Elimu imekuwa ikitajwa mara kwa mara kama silaha yenye nguvu zaidi ambayo mtu anaweza kutumia kubadilisha ulimwengu. Kichwa cha habari hiki kinaangazia umuhimu wa elimu...
  14. Fahamu kuhusu "Operesheni Acoustic Kitty" jinsi CIA ilivyotaka kutumia Paka kama chanzo cha taarifa kutoka Soviet

    Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa ulioanza kuenea sehemu mbalimbali za Dunia. Kule Langley, Virginia yalipo makao makuu ya CIA walikuwa...
  15. Napendekeza kura za uchaguzi mkuu zipigwe kwa kutumia Tigo pesa

    Itakapofika uchaguzi mkuu 2025, mtu aruhusiwe kupiga kura kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa kutumia mifumo ya mobile money. Pawekwe kipengele cha kupiga kura kwenye menu, ambapo atachagua Rais, Mbunge, Diwani, kisha atatuma kura yake. Kwa wasio na simu wataenda kwa mawakala kwa kutumia...
  16. M

    SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  17. M

    SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  18. Wauza nyama Nyanda za Juu Kusini wapigwa marufuku kutumia magogo buchani

    Wafanyabiashara na wamikili wa maduka ya nyama mikoa ya nyanda za juu kusini, wametakiwa kuzingatia maagizo ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) kutumia vifaa maalum vya kukata nyama na kuachana na matumizi magogo ya miti ili kulinda afya za walaji. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Juni...
  19. I

    Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  20. I

    Argentina yafikiria kutumia dola ya Marekani kama sarafu yake

    Wakati mataifa mengine yanafikiria kuachana na dola ya Marekani katika biashara ya kimataifa kuna mataifa mengine yanafikiria kutumia sarafu hiyo adhimu kama sarafu ya nchi. ----- While some emerging economies have demonstrated an eagerness to untangle themselves from the dollar's dominance...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…