kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar kuanza kutumia magari ya umeme

    Nimeona gazeti la Citizen kuwa SMZ inataka kuachana na magari ya mafuta na kuhamia ya umeme. Uamuzi mzuri sana. Urefu wa Zanzibar ni kama kilomita 90 tu. Na upana 35km. Mazingira kama hayo yanafaa sana gari za umeme. Hakuna jabari za range anxiety. Tena nawashauri Zanzibar waruhusu na magari...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DIT: Usalama wa wanafunzi wanaovuka barabara kwenda madarasa ya nnje ya chuo ni mdogo

    Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ai ina mapungufu na haiwezi kuchukua nafasi ya kila mtaalamu, lakini tayari imeanza kuwakosesha pesa Graphic designers, waandishi, programmers. n.k

    Hapo zamani msani akimaliz kurekod wimbo na akahitaji kava au akiwa na show akahitaji poster, jambo la kwanza lilikuwa kumpigia Graphics Designer. Kaz hizi zilikuwa zinawapa hata 20k hadi 50k. Watu wenye picha zilizofifia waliwatafuta graphics designers kuongeza ubora, waliohitaji picha zao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  5. K

    JamiiForums Tanzania MBINU MBADALA YA KUSAFISHA JF: Tuungane kuwazika "Cyber Troops" kwa kutumia kitufe cha "Ignore"

    Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote): "Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hizo account kama...
  6. JamiiForums Tanzania Leo majangwa yana badilishwa kuwa misitu ,lakini Tanzania imeshindwa kutumia maziwa yaliyomo maji yake kuwa mkombozi wa maji wakati yanarudi kule kule

    Ni aibu sana kwa kila jambo wanafafanua kisocho eleweka. Hapa nauliza maana naona kuna project saudia wanataka kufuta jangwa na china wamesha weza sasa maeneo mengi. Hapa kwetu tanzania tuna vyanzo vya maji vinapeleka ziwani ila tumeshindwa kuchukua ziwani kupeleka sehemu maji ni shida...
  7. JamiiForums Tanzania Acha kutumia mikono kama pambo la mwili

    Kazi ya mikono ni kulima, kufuga, kujenga, kutengeneza vitu n.k We mikono yako, unaitumia kwa kazi zipi?
  8. JamiiForums Tanzania Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wema Gani ulio nao mpaka ukatae kutumia uchawi

    Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa. Ndio manaa binafsi sinaga huruma na ngozi nyeusi wenzangu, hususani wabongo , yaani ukijaa kwenye mfumo...
  10. JamiiForums Tanzania Wewe na mpenzi wako huwa mnapenda kutumia style gani?

    Sisi huwa tunatumia hiyo number 3,9 na 13.
  11. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanaume kutongoza mwanamke kwa kutumia Pesa?

    Ni sahihi mwanaume kutongoza kwa show off ? Je hata ukimkubalia atakuwa na upendo wa kweli ? Au atakuwa anaona kama vile we ni wa kununuliwa tu?
  12. JamiiForums Tanzania Narudishaje account yangu baada kuwa banned kwa kutumia Gb Whatsapp?

    Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea message hiyo? Japo kuwa tayari...
  13. JamiiForums Tanzania Wazungu wanakubari makosa na kujifunza ndio maana wanazidi kutumia uwezo wetu kwa serikali mbovu za afrika kutokubari makosa

    Ni jinsi gani Africa imekuwa sehemu ya majaribio ya kila aina bila wao kujifahamu. Mzungu anaweza kukosea ila anaweza kukuacha na kujifunza alichokosea. USA kutimiza miaka 250 mpaka taifa kufika pale ila walijifunza makosa na mpaka sasa ni taifa kubwa. Afrika ijawahi kujifunza makosa ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Je? Naweza kufanya PHD kwa kutumia lugha ya KIswahili?

    Yaani nina andiko langu/ utafiti,,,,linalohusu namna ya kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbali mbali ya Tanzania kutokana na rasilimali zilizopo hasa kijijini... Je?..Kwa kifupi naweza pata Prof. wakunisimamia? kunipa muongozo?...lakini lugha nitakayotumia ni kiswahili labda nitachomekea...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga wapigwa fani ya Tsh. Milioni 100 kwa kutumia Jumba la Maajabu

    Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Tanzania Football Federation kufuatia ukiukwaji wa kanuni za NBC Premier League katika mchezo namba 233 wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania FC uliomalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-0. Adhabu hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zimeshindwa kutumia uchawi kufanikiwa kombe la dunia?

    Uchawi na uganga unaaminiwa sana Africa ila ajabu pale uchawi unapohitajika zaidi kufanikisha mambo kama kwenye hili kombe la dunia hauonekani kabisa kuleta matokeo, Hii inathibitisha uchawi ni porojo tu, ni kama Nyuki wa mashineni.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuchaguliwa serikali ya CCM onesha kuwa katiri. Simbachawene alionekana kutumia busara, hekima and the like , wakamlamba

    Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like. Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
  18. JamiiForums Tanzania Waziri katambi ina maana mpaka waziri wako mkuu kutumia chama na swala la mwenge umesitisha si umejumuisha CCM nayo.

    Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM. Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa. kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji UV LED blacklight\taa yenye uwezo wa kuburn screen sihitaji kutumia Jua, kama itapatikana Kwa bei nafuu hapa Dar es salam au mkoani

    Nahitaji hizo taa au exposure unit kwa bei nafuu exposure unit yangu imeibiwa nb hii inatumia Kwa screen printing so kabla ya kuagiza naamini naweza kupata haraka hapa Kwetu
  20. JamiiForums Tanzania Neno Yatima halina Wingi. Kutumia neno Mayatima ni udhalilishaji

    Mawaidha ya leo kwenye moja ya misikiti yamenikera sana. Shehe alitumia sana neno mayatima, hili ni neno baya na nimemwambia akaanza kunionesha aya zinazotaja mayatima nikamwambia shehe acha UPUMBAVU hizo aya zimeandikwa na watu kama wewe na hazinabudi kurekebishwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…