Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua...
Kutongoza sio kusifia tu au kujionesha kiasi gani unaweza kumtunza mwanamke.
Wengi huanza kuonesha kumjali mwanamke kwa pesa. Ubaya wake ni kwamba unamfundisha mwanamke ajali pesa yako tu. Na wanawake wengi skuizi wamezoeshwa hivi.
Wanawafundusha wanawake uchunaji.
Wengine wanakesha mtandaoni...
Hii tabia ya kuwatokea mademu mkiwa na ugwadu ndio inawafanya mchezee mitama ya shingo
Kwa sababu mnakosa ujasiri, mnakosa subra kwa sababu unakua driven na ugwadu.
Ukiwa na ugwadu unakua desperate sana na ndio maana mnapigwa mizinga ya ajabu ajabu na kuwekewe condition za ajabuajabu ili mpewe...
Mambo yasiwe mengi.
Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF.
Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au...
Iwapo mwanamke anaonyesha dalili za kukutongoza ambazo umependezwa nazo, haitakua jambo zuri kwako kama utapuuza swala hili kwa kufanya matendo yasiyotakikana.
Baadhi ya wanaume wengine wanaweza kudai kuwa wanawake ambao wanatongoza waume hawafai kukubalika kwani si kawaida.
Well, jibu ni kuwa...
Ndugu zangu ama vijana wenzangu kuna hili suala la kutongoza mke wa mtu ambaye hujui wametoka wapi na mmewe nataka niwape kisa cha mshikaji ambaye alikatwa kisigino maeneo ya Kibaha pale Kwa matiasi kijiji cha Msangani pale pale center.
Kama ilivyo kwenye kijiji mtu akija akiwa mgeni lazima...
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....
Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia...
Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana.
Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili.
but mala nyingi ni tamaa tu ya nje.
na kumbe huyo mwanamke hana maajabu yoyote, raha ya mapenz ni kupendwa, so tafuta atakayekupenda na kitu gani kitafanya...
"No one judge me"
Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa.
Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi akaingia tukaanza safari, kwakuwa nimeokoka sikutaka kumpigisha story.
Yeye alikuwa anachati, kuna...
Wakuu vipi?
Baada ya kusoma Points za huyu jamaa hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/shuleni-inabidi-waanze-kutoa-somo-la-namna-ya-kutongoza-ubakaji-na-ulawiti-kwa-watoto-wadogo-vimezidi.1989067/
Na baada ya kuona Malalamiko kama haya...
Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂
Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi?
Nikamjibu...
ENZI ZETU
Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati.
Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu.
Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo...
Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule.
Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
Kuna dada mmoja maruufu nampenda saana na nipo tayari kumuoa pesa ninayo. Ila sijui ni njia zipi nitumie kumpata huyu mrembo
Nikiweka pesa mbele mda so mrefu nitafilisika.
Nikitongoza kwa njia hizi zetu za kawaida bila kujionyesha muda so mrefu nitapigwa pending ya Atari tusaidiane mbinu. Mtoto...
Mitaa ya saa 2 hivi usiku niko nje mitaa ya home Kuna grocery tunapiga mbili tatu na washikaji zikaibuka pisi mbili zimekaa zimesimama pemben ya barabara kama dakika 10 hv bado wamesimama nikaona ngoja niende nikasogea piga story wakasema wanaeleka club fulan nikasema ngoja niwapeleke nikawasha...
Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na mwanadada aliyetoka kijijini! Hata kiswahili chake hakijakomaa kivile!
Kama kawaida yetu mabaharia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.