kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ben Zen Tarot

    Maneno mapya unayopaswa kuyatumia wakati wa kutongoza

    Ili uweze kumpata kirahisi mwanamke unayemtaka unatakiwa kujifunza mbinu mpya za kutongoza. Wengi wanashindwa kuwapata watoto wanaowapenda kwa sababu ya kutumia maneno ya kawaida au ambayo yamepitwa na wakati. Hivyo ili uweze kumpata mwanamke unayempenda kwa dhati basi unatakiwa kujifunza...
  2. Naantombe Mushi

    Wanawake ambao ukikutana nao, hutakiwi kutongoza, ila ukimkuta wewe shika mkono muende zenu

    Hahahahaaa Yaani hizi type za hawa wanawake, wewe usijiangaishe kutongoza maana ni kama utakuwa unapoteza nguvu na maneno yako. Cha kufanya, endapo kama umekutana naye kwenye kona, wewe cha kufanya ni kushika mkono, mnapitia Condom kwa Mangi, huyoo mnatoboa mpaka geto. Ifuatayo ni list ya...
  3. Libya

    Jinsi ya kutongoza katika Zama hizi

    Usimtumie meseji za userious sanaa Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako??? N.k Hizi manzi huwa hazipendi maswali maswali ,kiuhalisia binadam hapendi maswali. Nakupa mbinu...
  4. J

    Umasikini ulivyonitenga na mpenzi wangu wa utotoni

    Kila nikikumbuka tukio hili moyo wangu huwa unabubujikwa na machozi mithili ya damu ya kuku anayejinjwa, sijui hata ni kwanini ila asikuambie mtu, umasikini mbaya sana! Nakumbuka miaka ya 1990s, baba yangu alipata bahati ya scholarship Marekani, chuo kimoja kinaitwa Yale. Hivyo ilimlazimu...
  5. Carleen

    Ila sisi wadada jamani...

    Nimeshindwa kuvumilia akii tena. Nitawasalimia tu hata kesho wapendwa wangu, Leo bwana nimejitokea zangu huko duniani kwenye mihangaiko, nikafika zangu kituoni, nikasubiri daladala ya ninakoelekea, ikaja nikapanda, Sasa tumepanda zetu kama watu kadhaa hivii, sina zangu hili wala lile, kulikuwa...
  6. KENZY

    Wa tatu naye kanikataa! Nakosea wapi ndugu zanguni?

    Habari zenu watu? Tukiachana na yule niliekuta kanisevu "KIBERENGE" nikapiga chini,nimeamua kusonga mbele japo bado nawasiliana nae kiaina ila hakomi kuacha kuniita hivyo akinitext tu utaona text "we kibe haujambo" inaniuma sana.. tuachane na hilo Kuna pisi moja kali niliiandikia barua...
  7. O

    Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

    Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI! Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina...
Back
Top Bottom