kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani za kutongoza msichana maarufu?

    Kuna dada mmoja maruufu nampenda saana na nipo tayari kumuoa pesa ninayo. Ila sijui ni njia zipi nitumie kumpata huyu mrembo Nikiweka pesa mbele mda so mrefu nitafilisika. Nikitongoza kwa njia hizi zetu za kawaida bila kujionyesha muda so mrefu nitapigwa pending ya Atari tusaidiane mbinu. Mtoto...
  2. Dormant Account

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada, Mpenzi wangu kanitumia meseji ambazo nilikuwa namtongoza mtu mwingine

    Mitaa ya saa 2 hivi usiku niko nje mitaa ya home Kuna grocery tunapiga mbili tatu na washikaji zikaibuka pisi mbili zimekaa zimesimama pemben ya barabara kama dakika 10 hv bado wamesimama nikaona ngoja niende nikasogea piga story wakasema wanaeleka club fulan nikasema ngoja niwapeleke nikawasha...
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wivu wake umefanya anione mbaya

    Kama mnavyofahamu nyumba zetu za kupanga, unakuta nyumba ina vyumba kadhaa ndani vikiwa na milango inayotazama korido! Chumba changu kipo opposite na chumba cha mwanamama ambaye anaishi na mwanadada aliyetoka kijijini! Hata kiswahili chake hakijakomaa kivile! Kama kawaida yetu mabaharia...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wenzangu mnawapataje au mnawapata wapi?

    Sijajua sababu ni nini. maana leo nimewaza kuwa pengine nina nyota ya Buzi. Kila nikifahamiana na msichana nikatamani tuanze mahusiano hazipiti siku mbili utasikia anaomba pesa ya kodi. Simu imeharibika au ada ya chuo. tatizo langu nini lakini? Maana inanifanya nihisi pengine sipendwi. Why kuna...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi wawaambia Bodaboda "acheni kudanganya wanafunzi kwa chipsi"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Kanda ya Mjini Kati, Ramadhan Jacobo amewaasa waendesha pikipiki wenzake kujiepusha na tabia ya kutongoza pamoja na kujihusisha na mapenzi na wateja wao. “Asilimia tisini ya abiria tunaowabeba na wanaotulipa fedha ni wadada, na nyie ni mashahidi...
  6. Mia saba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini hutosahau katika kutongoza

    Imekuwa kawaida ya kumpata umtakaye kupitia kumshawishi hasa hasa kwa maneno yaani kutongoza Nina Visa viwili vilivyonifanya comrade wa kurusha nyavu😂 Part I Kuna katoto ka kike hako ka get Kali kwao kalipewa ulinzi Zaid ya Tanzanite ukikaona hutotamani masaa yasonge kwa uzuri huo hivyo juu...
  7. vadrick

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna dada nampenda ila hatoi majibu ya kueleweka

    Kuna kadada furani kana soma Saut hapa mwanza nakapenda sana nanimeshawahi kukambia ila akatoi majibu zaid ya kukaa kimya basi. Tumeishi maisha hayo ila kakikukumbuka kana kutexts mnasalimiana vizuri ila ukikakumbusha tu kana kaa kimya ata wiki ata mwez mzima Sasa jumapili kalinisalimia...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

    Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...
  9. Mr Kactus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtongoza Jana, leo asubuhi kanitext kapoteza hela zote na hajui afanyeje

    Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji. Sasa ktk tembea tembea pale sokoni nikaiona pisi kali inachagua chagua blauzi za buku buku. Moyo ukafanya...
  10. KJ07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kutongoza kwa mara ya kwanza?

    Habari za wakati huu Nimeona nilete mada muhimu kama hii mezani kwani kutongoza ni point muhimu sana iwe kwa mwanaume na hata kwa mwanamke japo ni nadra kusikia mwanamke katongoza na wanaume wengi tunawachukulia wanawake wanaotutongoza kama ni wameshindikana ila ukweli hauko hivo kwani mapenzi...
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikataa akaanzisha mahusiano na rafiki yangu, wameachana anadai anahitaji tuwe wapenzi

    Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda sana hapa mtaani kwetu, one day niliamua kumchana live ila alinikataa! Basi nikaamua kupita hiv!. Rafiki yangu akamtongoza akakubaliwa, akala, akanilingishia, wakawa wapenzi, cha ajabu walimaliza mwezi mzima wakakorofishana, rafiki yangu akapanga dili na...
  12. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyo-date na jirani yangu bila kujua

    Miezi kazaa imepita, nilikuwa Dar es salaam kwa mishe mishe; mida ya saa nne usiku baada ya kupata chakula na kinywaji nikawa 'bored' na mazingira ya hotel, nikaona sitendei haki chumba kile kuwa peke yangu, ndipo nilipochukua 'laptop' yangu nakuingia mtandao fulani wa 'dating', na kuanza...
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Please Wana jukwaa, kwenye tasnia ya kutongoza, nashauri turudishe mifumo yetu ya zamani!

    Nawasalimu Asalam aleykum! Kwakweli inasikitisha sana tasnia ya kutongoza imeharibiwa vibaya mno! Vijana wa Sasa utongozaji wao ni wa mwendokasi, yaani ni blah blah tu Maneno machache, "I love you" na mwingine anajibu " I love you too" kazi imekwisha kesho wanaingia mzigoni kunyanduana Tena...
  14. Tyrone Kaijage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasugua viganja wanamaanishaga nini

    Habari wanafamilia, Hii nimeikuta sehemu kwenye page fulani ya Wa cameroun wakijadili kwa kuwa nimeiona pia hapa kwetu hivi hii kitu huwa inaashiria nini au maana yake ni nini?
  15. alcacer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa kazi ananitega

    Habari za muda huu, Nakuja moja Kwa Moja kwenye mada, home hapa kuna beki3 ana kama miezi 3 hivi tangu aje naona anaanza kuniletea mazoea flan hivi dah, najua bimkubwa lazima atajua nafanyaje wakuu au nivunge tu!
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila ninayemtogoza ananikataa, nifanye nini?

    Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo. Naomba ushauri wenu.
  17. frenderPH

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulichukuliaje first rejection enzi hizo unajifunza kutongoza

    Woooozaaa inakuaje wadau habari zinakwendaje... Kama ilivyo ada nimekuja na mada mpya kwa wanaume yani kwamba uliichukuliaje ile first rejection kipindi unajifunza kumendea tunda la kati (kutongoza ) Okay kwa upande wangu nakumbuka ilikua 2009 hivi nilikuaga ndo nimeanza kubalehe mihemko ya...
  18. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
  19. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SMS zinatupunguzia wanaume pointi tatu muhimu

    Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu. Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Style mpya ya kutongoza yagundulika huko Ivory Coast. Mwanamke hachomoki

    Video inajieleza hapo chini. Haya madomo zege mshindwe nyie.
Back
Top Bottom