kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kutongoza mwanamke

    Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
  2. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

    Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

    Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
  4. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na udomo zege sijui kutongoza kabisa aisee

    Sijui hii hali itakoma lini inanitia hasira sana sijui kitu gani kinanifanya kuwa hivi aisee sasa sijui kwanini naogopa ogopa huu si ni ujinga? Wakuu naombeni msaada jinsi ya kutongoza aisee nakerekwa na kuchukia aiseee Unakuta kuna demu unamuelewa ila unashindwa kumface kwa sababu ya uoga na...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kutongoza

    Mada hii inahusikana na kutongoza na mbinu zake
  6. fakhbros

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu kutongozana

    1. Sanaa ya kutongoza ni ngoma maridadi ya mvuto, haiba, na uhusiano wa kihisia. 2. Inapita zaidi ya mvuto wa kimwili, kuingia katika saikolojia ya tamaa na mwingiliano wa kibinadamu. 3. Kutongoza kwa mafanikio kunahusisha kuelewa mahitaji, matakwa, na udhaifu wa wengine. 4. Kujiamini ni...
  7. Surya

    JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze kutongoza ni rahisi tu (Matokeo Siku 3 tu)

    Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe. Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe. Examples of Questions; Unamwanaume, Yes or no If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic? if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am...
  8. haszu

    JamiiForums Tanzania Ukiwa handsome, kutongoza ni kama kucheza game in “Easy mode”

    Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi. Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi. Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli, Pesa kidogo huku...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukiona unatongoza sana huku na kule fahamu tu umeshapoteza power

    Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri. Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k You don't need to chase anything in this entity. Ni kukaa chini na kujua what you need in ur life na kuanza kuchezesha mifumo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, tumetofautiana pakubwa sana

    Kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo akatumia gharaman ndogo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; Wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5 wkitumia gharama kubwa zaidi bila mafanikio wanapigwa kalenda. Unakuta mtu...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mchecheto kwenye kutongoza

    Kijana wa kiume amesimama na binti wa kike mahali flani, presha ya kijana iko juu, halafu anabadili tu jinsi ya kusimama, hatulii, mara mikono mfukoni, mara akunje nne ya kusimama sijui anaminya nini, halafu hapo chini pamevimba utadhani ana busha dah. Yaani, mpaka inajulikana kabisa huyu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mila ya wanaume kutongoza imepitwa na wakati

    Habari Wadau, Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati. Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi mara vile hadi mwanaume ajiongeze mmmh! We ukiona kaka umempenda mfuate mueleze ukweli muombe namba...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

    Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa? Inapotokea chance ya ninyi...
  14. Daydream

    JamiiForums Tanzania Hasara za kutongoza mtandaoni

    Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti. Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  16. Don Calipso

    JamiiForums Tanzania Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

    Habari mwanaJF, Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano. Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni. Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

    Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini. Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kutongoza. Naona aibu

    Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naona kama kuna upepo wa wanaume kuacha kutongoza wanawake unakuja taratibu

    Hii hali naona kama imeanza Marekani, baadhi ya wanawake Wa Marekani kule mtandaoni K.v TikTok na insta wanalalamika Kuwa wanaume wengi hawatongozi tena, rate ya wanaume kutongoza miaka hii imepungua, ukilinganisha na miaka ya nyuma, Marekani kuna kuaga na singles gathering ambapo wanaume na...
Back
Top Bottom