kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Think2

    Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

    Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo? Wewe vipi mdau ulishawahi
  2. J

    Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

    Usiondoke JF Rais Samia Suluhu Hassan leo anazindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 hafla itakayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Uzinduzi huo utafanyika wakati wa Mkutano wa Tatu wa Taifa wa Dira, na unatajwa kuwa ni tukio kubwa la kihistoria, likiwa ni mara ya...
  3. jamaikatz

    Kwa nini ukitongoza msichana/mwanamke unaye ishi nae mtaa mmoja anakukataa ?

    Katika harakati zangu za kujitafuta nimesha hamia mitaa mingi lakini kila ninapo hamia kwenye huo mtaa huwa nakutana na vibinti vingi + wanawake wengi pamoja na mishangazi , Ila kila nikijaribu kushusha swagga napigwa chini sasa huwa najiuliza shida nini , lakini nikienda Mitaa ya jirani ,huwa...
  4. M

    Aisee nimekutana pisi kitaa nataka mbinu za kutongoza

    Katika pitapita na harakati za mtu mweusi nilibahatika kuona katoto kazuri kakishua,sikuchelewa nikachukua namba na hata nae vzr tu hadi saiv ila tatizo kukafungukia ndio kuna ugumu Nisaidieni mistari wakuu kabla hakajalala nikachane makavu
  5. Bodhichitta

    Nina Uraibu wa kutongoza

    salaam, hakika sio Kila ulevi husababishwa na pombe. nahisi Nina Uraibu wakutongoza kwakweli, yaani kama mwanamke sio ndugu yangu akijiweka karibu namimi lazima nimtongoze hata kama najua huyu sina Nia nae na sifanyi nae Chochote lakin ni lazima nimtongoze kwanza. akatae au akubali...
  6. Shuku_

    Je, umewahi Kutongoza au kuishi kimwili na mwanamke mwenye JINSIA MBILI?

    Habari zenu wana MMU Nyie mlio wahi kuishi na mwanamke mwenye JINSIA MBILI (huntha) yaani ya kike na ya kiume kwa pamoja. Njoeni mtupe uzoefu.
  7. Kusini pride

    Nielekezeni jinsi ya kutongoza wakuu

    Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua njia ya kumuingilia aisee Hii pisi ni ya kwenda aisee yaani akikubali nataka kumuoa aisee kama...
  8. Tlaatlaah

    Hivi kutongoza msibani kwenye maombolezo inaruhusiwa?

    Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen? Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  9. Hivi punde

    Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

    Wanaume wengi wanatamani kuongeza urefu na upana wa maumbile yao ya uzazi, kutokana na kuathirika kisaikolojia kunakowafanya waamini mabadiliko hayo huongeza uwezo wa kumfikisha mwenza kileleni. Vilevile, wanaume hawa huamini maumbile hayo yanayoleta msisimko kupita kiasi wakiwa nayo...
  10. B

    Sitarudia kutongoza tena kwenye harusi

    Wazee basi, Jana katika Harakati nikiwa nimeenda kwenye sherehe mshikaji alikua anaoa Sherehe, ilifana sana basi kama kawaida nikawa napiga zangu bia meza yetu ilkua ni kreti la safari larger na kali moja Ikafika muda wakuu kibofu kikatingwa Ikabidi niende maliwato kupunguza acid, Nje...
  11. R

    Ni kwa muda gani mrefu zaidi ulitumia kutongoza

    Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti kumbe yupo kwao. Nakumbuka niliwahi kukutana na binti flani haikuwa rahisi kumpata, nimeshawahi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana mjifunze Kutongoza. Mmenisikitisha Sana kwa waliomfuata Binti Kimoso. Mbinu za kutongoza Mwanamke mtandaoni ni hizi;

    Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza kupo damuni. Sisi Watibeli hatuzuii wake zetu au wachumba zetu kutongozwa kwa Sababu kuu mbili...
  13. Django Doer

    Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

    Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta! Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa 🤣.
  14. Muimba SINGELI

    Wanaume tusilaumiwe kwa kutongoza watu wetu wa karibu ( wanawake )

    Hongereni na poleni kwa pilika wakuu. Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk. Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...
  15. B

    Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

    ...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"...... Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini. Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
  16. T

    Jinsi wanaume walivyokwepa jukumu la msingi la kutongoza

    True story;
  17. fimboyaukwaju

    Kutongoza mwanamke

    Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
  18. Money Penny

    Kwanini wanaume waliotalaka wake zao, hutumia watoto wao kutongoza wanawake wapya? Je wanakuwa wanapenda au ni matapeli tu?

    Dada: money penny nisaidie Money penny: ndio boss Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa Money penny: ndio boss Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
  19. Yoda

    Vijana wa kiume kutongoza wanawake waliowazidi umri sana ni tabia mbaya na ya hovyo?

    Kuna haya malalamiko ya huyu bibi anayesema vijana wanawatongoza wanawake sawa na mama zao akisema ni tabia mbaya na za hovyo! Ni sahihi kuwasema vijana wa aina hiyo hivyo? Akizungumza kwenye kipindi cha JIRANI Mama Terry amesema vijana wengi wa kiume sasa hivi wamekuwa na tabia mbaya na za...
  20. Zee la madawa

    Nasumbuliwa na udomo zege sijui kutongoza kabisa aisee

    Sijui hii hali itakoma lini inanitia hasira sana sijui kitu gani kinanifanya kuwa hivi aisee sasa sijui kwanini naogopa ogopa huu si ni ujinga? Wakuu naombeni msaada jinsi ya kutongoza aisee nakerekwa na kuchukia aiseee Unakuta kuna demu unamuelewa ila unashindwa kumface kwa sababu ya uoga na...
Back
Top Bottom