NISHATI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kuzimwa kwa huduma katika Njia Kuu ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Msamvu hadi Dodoma ili kuruhusu umaliziaji kazi kwenye vituo vya Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) vya Msongo wa Kilovoti 220/33
Mikoa itakayoathirika...
Ukizungumzia miongoni mwa vyombo vya Habari ambavyo vina uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu naamini RFA kutoka Sahara Media itakuwa namba 1 kabisa. Radio hii imewahi kuwa na Watangazaji bora kuwahi kutokea na waliokuja kubadili kabisa sekta ya Utangazaji nchini.
Lakini Radio Free Afrika...
Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la BRICS umefanyika kuanzia Juni 10 hadi 11 huko Nizhny Novgorod, nchini Russia. Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alihudhuria mkutano pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za BRICS na wawakilishi kutoka Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai na ASEAN. Pia...
Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari.
Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za...
Wanafunzi hasa chuo kikuu cha Dar es salaam UDSM mpaka sasa hawajapata stahiki ya fedha za kujikimu ijulikanayo kama "boom" mpaka sasa ilihali hali fedha hizo zilitakiwa kulipwa tangu tarehe 23 mwezi mei.
Ukipitia account za SIPA za wanafunzi zinaongesha fedha ziliwekwa tangu mei 13 lakini...
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi.
Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia...
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho.
Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za...
Huku vita kati ya Hamas na Israel vikikaribia kuvuka miezi 7 siri zaidi za udhaifu wa jeshi la Israel zinaendelea kufichuka.
Pamoja na kusifiwa kwa ubora wa vifaa na ukubwa wa jeshi la Israel imeelezwa kuwa jeshi hilo limekuwa likijitia hasara kubwa kwa kuua askari wake na kuangusha droni zake...
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoani Katavi, Mhandisi Martin Mwakabende ameifungua barabara hiyo baada ya kufanyiwa ukaguzi na ukarabati wa Daraja la Stalike kuelekea Mkoani Rukwa.
Barabara hiyo ilifungwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko baada ya kujaa maji...
Hizi familia zina nini.
Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem.
Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
Je Ndugu zetu wanaokula fungo wanazingatia mila zao au ni kutokana na uhaba wa nyama?
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeleta hoja hii muhimu nilitarajia majibu yasiyo na kero wala karaha
Nauliza kuwa wale ndugu zetu wanaokula yule mnyama mwenye harufu kali ya kuchefua aendaye kwa jina la fungo
Je...
Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku,
Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza.
lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma...
Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu
Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
Habari wanajukwaa.Juzi nimeenda hospitali ya serikali kupata tiba ya mteguko wa miguu baada ya mazungumzo ya awali Kati ya dokta na mgonjwa (diognosis)dokta akaniambia hawana vifaa pale ila nichukuwe namba yake atakuja kunitibu nyumbani na hakika alikuja.
Na kunasiku tena nikamchek dokta fulani...
Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat.
Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.