kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utaje ni wimbo kutoka kwa members wa JF ambao unafunga mwaka 2022 -2023

    Ni wimbo gani unahisi unafunga mwaka 2022 vizuri.. Majukwaa yote Matusi au kejeri au dhihaka haziruhusiwi twendeeeeeee ENTERTAINMENT mshindi ni comment ya mwisho au itakayokuwa na maombi mengi zaidi yatayotakayopatikana au itakayogota saa 00.00(saa 6 kamili usiku) tar 01 /01/2023 zawadi...
  2. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

    Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila? Sio poa kabisa. Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old Moshi tukabadilisha...
  3. JamiiForums Tanzania Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70. Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna basi la moja kwa moja ama kuunga kutoka Dodoma hadi Mbeya Kuanzia saa tatu asubuhi?

    Habari zenu waheshimiwa, Naombeni mnijuze kama kuna basi la kutoka dodoma hadi Mbeya kuanzia saa tatu asubuhi
  5. JamiiForums Tanzania Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

    Habari ya muda huu wana jamvi la Jf? Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii, Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga...
  6. JamiiForums Tanzania Mkitaka uraia pacha basi rahisisheni taratibu za watu kupata passport na kutoka nje ya nchi

    Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa vikwazo kibao juu ya kutoka nje ya nchi. Yaani vikwazo vilivyopo ni ngumu watoto wa kimasikini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dua zenu zimekubaliwa: Kenya haitaagiza tena chakula kutoka Tanzania 2023

    Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu wa chakula kwa mwaka 2023 kwa kuwa uzalishaji wa ndani ni mdogo Hii ni habari njema kwa wale...
  8. JamiiForums Tanzania Bangi hutumia muda gani kutoka kwenye akili?

    Maldives! Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal? Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones zirudi kwenye hali ya kabla hazijawa stimulated na CBD ya bangi? Nlkuwa napiga dozi kwa siku mara 3...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2023 kutoka shule ya msingi moja wote wamehamishiwa sekondari moja

    Mimi labda sijaelewa. Unakuta shule ya msingi A, ina wanafunzi 123 waliomaliza darasa la saba na wamafaulu wote kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023. Cha kushangaza wanafunzi wote wa hiyo shule ya msingi A wamepangiwa shule moja tu ya sekondari iliyopo kwenye hiyo kata kujiunga na kidato cha...
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa na uwezo kutoka koo masikini ni adhabu

    Mwanzoni mwa 2019 niliuguliwa sana mdogo wangu. Nililazimika kufa naye kwa sababu nilianza kuishi naye akiwa form 1 wakati mimi nimeanza maisha. Aliumwa takribani mwaka mzima,gharama za matibabu zilikuwa kubwa sana lakini nikakomaa mpaka akapata afadhali kubwa. Kabla ya hapo nilikuwa mstari wa...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Sugu kwa kuwa msikivu, na mliyompa ushauri wangu kutoka JF mbarikiwe, ujumbe umefika

    Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari. Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana...
  12. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Croatia kutoka kwenye Vita ya Umwagaji Damu hadi Kombe la Dunia

    Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11. Asili...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia atakumbukwa maisha kwa ushindi wa 55% au atasahaulika kwa ushindi wa 80% mwaka 2025?

    Hilo ndilo swali la msingi 1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania 2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi ambayo ni fake? Haya ni maamuzi yake. Mafisadi wote wanataka achague namba 2 kwani wanajali matumbo tu...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi: Mabehewa yaliyokuja siyo ya SGR ni ya MGR

    Behewa ni 22 zilizokuja kwa reli ya Kati MGR na si miongoni mwa behewa za @SGR_tz. Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
  15. JamiiForums Tanzania Njoo hapa nikufundishe njia sahihi ya kupigana vita vya kiroho

    Nianze KWA ku declare interest nimezaliwa katika familia ya kiislamu. Katika maisha yangu halisi najulikana kama muislamu. Familia yangu inanitambua kama Muislamu. Lakini ndani ya nafsi yangu nilisha uvua utambulisho wa uislamu toka enzi za Pontyo wa Pilato. Niliamua kuachana kabisa na mambo...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Logo mpya kutoka mnyilinga team

    Sasa unaweza kujipatia logo kari sana kama hizi kwa bei nzuli kabisa na kwa muda lafiki karibu sana MLB (Mnyilinga logo bank ) 😁😁 Kwa mahitaji ya logo nichek DM tuongee kwa bei nzuri sana na kwa muda lafiki wa kufanya kazi yako .
  17. JamiiForums Tanzania TANZIA Kutoka Qatar; Muungaji mambo ya ushoga Grant Wahl afariki ghafla

    Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar. Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
  18. JamiiForums Tanzania Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

    Hata kama ni mapendekezo sidhani kama mlifikiria au kuwaza kwa kinagaubaga, huko Anatorglo mnaenda kupaka mafuta ili kung'arisha hiyo nauli na si vinginevyo. Ukute mmeshaandaa wazungumzaji wenu wa kutetea hiyo nauli na hapo ndiyo watakuwa wengi ukumbini. -- Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  19. JamiiForums Tanzania Salamu za Uhuru kutoka kwa Mwalimu Nyerere

    Ndugu wananchi, Naona mwaka huu hamsheherekei Sikukuu ya Uhuru. Si kitu. Mradi tu mkumbuke kwamba mko huru. Kwa sababu mimi na Rashidi na Oscar na Derek na Jamal na Maswanya na wengine wengi tuliwaletea Uhuru, tuliwaongoza katika harakati za kudai Uhuru Kwa hiyo mjihadhari mtu yoyote...
  20. JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…