kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kupewa majina ya wapigaji Invoice kutoka USD 37 milioni mpaka USD 86 milioni

    Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo? Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu...
  2. JamiiForums Tanzania Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

    https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio tatu bora ya vyama vya upinzani ambavyo vilipata misukosuko mikubwa kutoka katika vyombo vya dola

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ndugu zangu, najua hapa JF tuna vijana wengi ambao walianza kufuatilia na kujiunga na mambo ya kisiasa miaka ya 2010, 2015, 2020 hadi leo 2023. Vijana hao ambao wengi wao ni Chadema, wakifuatiwa kwa mbali na ACT Wazalendo, wanaamini kwamba vyama hivyo viwili ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Papa Francis aruhusiwa kutoka Hospitali baada ya kulazwa kwa siku 3

    Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki mwenye miaka 86, alilazwa Machi 29, 2023 katika Hospitali ya Gemelli Polyclinic baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kupumua ambapo alianza matibabu ya Dawa za 'Antibiotic'. Maafisa wa Vatican wamesema #PapaFrancis atakuwa katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Njoo ujipatie offer ya urembo kutoka nyumba yako

    Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo .... Dirisha 30000 ...nguzo 40000 ... skirting 100000 ..arch ya baraza 10000 ... Arch ya ndani 70000 0719999526/0747618315 WhatsApp
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu aliyesomea Public Health/Environment Management au course ya NOSCH 1 kutoka OSHA

    Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Sitaacha!" Eric Omondi anasema baada ya kuachiwa kutoka kizuizini na polisi

    Mchekeshaji Eric Omondi amesema kwamba kuachiwa kwake kulihakikishwa na mfanyabiashara Gor Semelang'o, ambaye alimdhamini kituo cha polisi. Mchekeshaji Eric Omondi ameachiliwa kutoka Kituo cha Polisi cha Central Nairobi ambapo alikuwa amezuiliwa baada ya kukamatwa Jumatatu alasiri. Omondi...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania kuleta faru kutoka Afrika Kusini baada ya kutokomea kwa ujangili

    Katika jitihada za kuvutia watalii, hifadhi ya Mikumi ina mpango wa kurejesha faru ambao walotokomezwa na ujangili miaka ya 1980 na 90. Faru ambao wako kwenye kundi la wanyama watano wakubwa zaidi wanakosekana Mikumi. Faru wawili wa mwisho walionekana mikumi zaidi ya miaka 30 iliyopita upoteaji...
  9. JamiiForums Tanzania Stars ilivunjika baada ya Mohamed Hussein, Mzamiru Yassin na Himid Mao kutoka

    Kipindi cha kwanza timu ilikuwa kwenye balance nzuri lakini baada ya kutoka Mzamiru Yassin na Himid Mao ndipo kocha wa Uganda Micho aliona gap na yeye kuingiza wachezaji wenye Mindset za kushambulia na kutumia mwanya huo kuimaliza Stars. Feisal hakutakiwa kucheza kabisa leo hakuwa na msaada...
  10. JamiiForums Tanzania Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hosptali

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imesema majeruhi pekee wa ajali ya basi la mwendokasi iliyotokea tarehe 22/2/2023 Jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya afya yake kuimarika. === Tunapenda kuuarifu umma kwamba majeruhi pekee wa ajali ya basi la...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume wenzangu hii imekaje?

    Muwe mnawataarifu wake zenu mkiwa mnarudi kutoka safari inasaidia kuokoa ndoa .
  12. JamiiForums Tanzania Picha ya Siku kutoka Nairobi

    Ama kweli ubaya hauna kwao😂 mabomu waliyopiga yamewarudia wenyewe
  13. JamiiForums Tanzania Mlionidhihaki na Kutoniamini niliposema akina Kapombe na Hussein watarudishwa Taifa Stars Timu ikirejea kutoka Misri mpo wapi?

    Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa kama nilivyosema na wako Kikosini ( Kambini ) sasa. Jamani sikutwaa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma Senegal, funzo jingine kwetu

    Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja." Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja. Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki: Ousumane Sonko sasa yuko huru baada...
  15. JamiiForums Tanzania Mpemba Effect iliyozaliwa Tanzania na kuhamia ughaibuni!

    Katika orodha ya watu muhimu waliofariki nchini mwaka 2020, Jina la Erasto Barthlomeo Mpemba halimo! Watu waliofariki mwaka huo, na misiba yao kuadhimishwa kitaifa mwaka huo, wamo Rais mstaafu Benjamin Mkapa, John Kijazi, Mchungaji Rwakatare, Jaji Agustino Ramadhani, Waziri Agustine Mahiga—wote...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania ya 8 kutoka mwisho ripoti ya furaha Duniani

    Tanzania yaendelea kuangukia pua world happiness report 2023 baada ya kuwa kundi moja na nchi za Haiti, Afghanstan, Congo, Rwanda, Malawi na Lesotho. Vigezo vilivyotumika ni pamoja na upatikanaji wa haki, Rushwa, Matarajio ya maisha marefu, pato la mtu mmoja kitaifa, Ukarimu, Usaidizi wa Jamii...
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka mbugani serengeti

    Unaambiwa bob killer ambaye ni muuaji mkuu katika kundi la seven brothers waliotekeleza mauaji ya bob junior amemchumbia mtoto wa bob junior. Na unaambiwa kwakua binti huyo wa bob junior hajafikia umri wa kupandwa bob killer ataendelea kumuangalia mpaka atakapofikisha umri wa kupandwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Muda wa kutoka kazini kuwa saa tisa na nusu umepitwa na wakati

    Ni sheria zipi zinazosimamia saa kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano ya Kazi ya mwaka 2004, muda wa kazi Tanzania ni masaa nane na Kiwango cha juu cha muda wa kufanya kazi kwa siku kilichoelezwa na sheria ni masaa tisa (9) kwa siku. Pamoja na kutamkwa na sheria kuna kazi na ajira...
  19. JamiiForums Tanzania Shirika la DDC Kuchukua Ardhi huko Mbopo, Kinondo na Mabwepande kutoka kwa Wananchi ni Uporaji

    Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi wa Barabara ya Njia 8 Kimara - Kibaha zapanda kutoka Bilioni 141 hadi Bilioni 218

    Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu. Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…