Kwanini Diaspora ni kutoka nchi za Magharibi tu?

Kwanini Diaspora ni kutoka nchi za Magharibi tu?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,259
Reaction score
14,161
Sijawahi kusikia watz waliochukua uraia wa Sauth Afrika, Korea Kusini, Japan, China wakilalamika na wakiandama iki watambulike.

Wengi wanaojitambulisha kama Dispora ni kutoka nchi za Magharibi

Maandamano yote dhidi ya tz ni kutoka Germany, UK, USA, Canada.

Kwanini?
 
Mental slavery
 
Jielimishe kwanza kwa kufahamu maana ya neno diaspora ndio uandike mada yako , maana unaandika vitu ambavyo vinashangaza.

Halafu jiulize kwanini nchi kadhaa ndio zinaonekana zinao hao diaspora wengi kuliko nyingine.

Halafu ule mpango wako wa kuondoka JF umeishia wapi?
 
Wewe nyooka kwenye angle yako ya Ushoga ,tukufuate huko huko,siyo mbali wala
 
Back
Top Bottom