kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

    Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji). Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

    Wakuu. Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi. Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje mbele ya kadamnasi. Hapa ni baadhi ya mifano mitano (5): 1. Vipensi kuonesha Mapaja. Kuna watu...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  5. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi aitaka serikali kununua bidhaa kutoka viwanda vya ndani

    MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutotumia mamilioni ya fedha kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na badala yake wanunue bidhaa hizo kutoka kwenye vowanda vya hapa nchini. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia kwenye bajeti ya wizara ya viwanda na...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hii hapa ni orodha ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi

    Binafsi nafuatilia sana siasi Kwani naelewa mustakabali wa maendeleo yetu kama binadamu unaletwa na siasa safi. Kwa upande wa Afrika Mashariki na kati na kwa kipindi hiki ambacho naelewa kinachoendelea duniani (2005 - 2024). Hii hapa ni list ya wanasiasa ambao kwao nimejifunza mengi. 1...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya mshahara kutoka watu wenye harusi wameanza simu

    Daaah, Inakata stimu kwa kweli. Yaani hata mama sijamrushia muamala. Yaani hata kuhemea bado napotezea ili mshahara upoe kwanza. Yaani hata hela haijampumzika kwenye akaunti. Yaani hata mwenyewe sijajipa pole na tulizo la nafsi. Wenye maharusi tupumzisheni jamani, wekeni bajeti kulingana na...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  9. JamiiForums Tanzania Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

    Wakuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi. Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa...
  10. JamiiForums Tanzania Taazia: Dkt. Tamim Kutoka Kalamu ya Dkt. Dau

    TAAZIA: DR. TAMIM KUTOKA KALAMU YA DR. DAU GAZETI LA RAIA MWEMA Tarehe 17 Mei 2024 Saa 1 asubuhi nimepokea simu kutoka kwa mwanangu Ahmed Dau. Wakati huo nilikuwa nipo safarini nchini Uturuki kuhudhuria Kongamano la 3 la Kimataifa kuhusu Halal Tourism ambapo niliombwa kuwasilisha mada kuhusu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania TOA Tanzania yapata uwekezaji wa $30 Milioni kutoka BII za kupanua miundombinu ya mawasiliano na kuboresha huduma ya mawasiliano Tanzania

    ● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini ● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
  12. JamiiForums Tanzania Yaani kuhamia CCM kutoka uliko ni mpaka umuombe Mungu? Tumpumzishe Mwenyezi Mungu kwa Unafiki wetu uliojificha

    Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo. Chanzo: @MwananchiNews Ngoja nami GENTAMYCINE...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kutoka Muziki wa Hip Hop hadi kuwa viongozi

    Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa: 1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' Ni Mbunge wa Muheza pia ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo 2. Nickson Simon 'Nikki wa...
  15. JamiiForums Tanzania Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

    Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  17. JamiiForums Tanzania Mafundisho mapya ya kuhusu miujiza (masuala ya kiroho) kutolewa na Kanisa leo: Kwa nini historia inajirudia leo kutoka mwaka 1978?

    Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Holy See, na ndio sababu baadhi ya machapisho yameripoti kimakosa kuwa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ? Naleta hii mada sababu inafikia kipindi wazazi wanafungia watoto wao wenye...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye ndege mnavuta oxygen kutoka wapi wakati ndege inaruka layer ya stratosphere kusiko na hewa

    Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta hewa kawaida kama mpo chini huku. Je kuna mitungi ya oxygen inayozalisha na kuwasambazia? Huu...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Kutoka Mito Hadi Mitaa: Safari ya Maji Yenye Hasira ,Tafakari za Mafuriko na Mustakabali wa Miji Yetu

    Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine, hasira ya asili. Mito huanza safari yake kutoka vyanzo vya maji. Vyanzo kama chemchem, maziwa, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…