kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  2. Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  3. Konyagi na kutoka jasho

    Nimekunywa Konyagi this morning natokwa na jasho balaa. Nahisi nishapoteza maji kama lita 10 mpaka sasa hivi. Au itakua konyagi pori hii, mbona za zamani hazikuwa hivi?
  4. Huenda Ijumaa ijayo k Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao

    Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao ) Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
  5. Gari nzuri na dereva kutoka Dar mpaka ifakara

    Habari Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi. Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya kwenda na kurudi jumla. Tutakua watatu au wawili. Mwenye kuweza nicheki Dm au comment nikucheki.
  6. D

    Ujumbe wa Pasaka kutoka kwa mamlaka

    Watu wengi hawafahamu kwamba "Bila Ofisi ya Papa Francisco, makanisa yangekuwa mengi mno duniani yenye mafundisho potofu kwasababu kungekuwa hakuna kanisa Katoliki ambalo ni moja, Takatifu, Katoliki na la mitume; ulimwenguni kote. Hebu fikiria kama kungekuwa hakuna kanisa Katoliki Tanzania...
  7. Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  8. R

    Kutoka kuwakoromea Mawaziri hadi mpokea Mwenge wa Uhuru; kutoka kutumia magari lukuki hadi kwenye gari moja

    Maisha ni mzunguko, unapokuwa mkubwa heshimu watu kwani bila watu uwezi kuwa mtu mkubwa. Unapoaminiwa rizika na kidogo unachopata na kumwachia aliyekuamini akupe kikubwa zaidi Tambua ipo siri kubwa ya kukutanisha na MWENYEKITI wa CCM Arusha Mzee Sabaya ambaye mikono yake inanuka ukatili...
  9. G

    Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

    Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
  10. Wapalestina wakataa kusimamiwa na jeshi la Waarabu kutoka mataifa tofauti

    Waarabu wamekaa wakawaza kubuni jeshi la pamoja ambalo wanajeshi wake watatokea kwenye mataifa ya kiarabu, hili jeshi litumike kudumisha amani Palestina na kulinda chakula cha misaada ikiwemo ugavi wake..... Magaidi yamehamasisha Wapalestina wakatae hili wazo, hivyo Wapalestina waendelee...
  11. Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  12. Kutoka Mtandao wa Malumbano Kwenda Mtandao wa Habari

    Ohaa Wana jukwaa Jf imeendelea kuwa mtandao muhimu ambao umekuwa kama mkondo wa pili wa habari kwa jamii ya Tanzania, na sasa unaonekana kama kama sehemu ya kuongelea masuala kedekede,Sababu ya uwezo wake wa kuchapisha habari haraka na kwa urahisi, na pia kwa kuwa jukwaa la user-generated...
  13. Kwa anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dar naomba anicheki

    Yeyote anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dsm; Nahitaji lift. Gari lazima liwe 2.8 GD6 Hilux 2024/Mercedes Benz 2024 yenye leather seats, AC inayofanya kazi na cooler box. Tukifika Dsm mimi ndio nitaendesha gari. Tafadhali, inbox me
  14. R

    Nyikani, Mwanamke atainua mnyama kutoka majini atakayetupeleka Nchi ya ahadi

    Salaam,Shalom!! Leo twende Kona za kinabii, watakaodaka wadake, wasioelewa ndo basi tena, wale wasioamini kuwa Mungu husema na manabii, ndo kabisa, hawatodaka chochote. MWANZO WA NDOTO. Roho wa akanichukua Hadi Mahali palipokuwa na maji mengi, ufukweni mwa ziwa na tazama, mnyama mkubwa...
  15. Ijumaa kuu njema kutoka UWT

    Mwenyekiti wa UWT Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) Anawatakia waumini wote wa kikristo Ijumaa Kuu Njema. Siku ya kukumbuka Kifo Cha Bwana Yesu, Aliteswa na Kufa Kwa Ajili yetu.
  16. Mambo ni Shwari, Hakuna tena Matamko ya Pasaka kutoka kwa Wakatoliki na ACT(Umoja wa Makanisa).

    Naona mambo sasa yamekaa sawa. Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa. Huu Mwaka hakuna kanisa lenye tamko. Achilia mbali hali mbaya ya Uchumi inayolikumba taifa kwa sasa. Inamaana Wameshakubali...
  17. J

    Kafulila: Watanzania zaidi ya mil 40 ni Wakulima mil 28 kati yao ni Wanawake tunapunguza Umasikini kwa nchi yetu kuwekeza zaidi kwenye Sekta ya kilimo

    Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema, Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
  18. Kama tunataka kukimbia na kutoka hapa tulipo katika kundi moja na waafrika wenzetu tunahitaji mfumo wa China

    Kama tupo serious tunataka kutoka hapa tulipo katika umasikini huu tunahitaji zaidi mfumo wa China. Kama kweli tunataka kukimbia kwa kasi tunahitaji zaidi mfumo wa China kuliko wakati wowote ule. Ubaya wa huu mfumo hauhitaji watu wazembe, hauhitaji wanasiasa wenye maneno mengi na wapiga...
  19. Jummah Kareem

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi anawatakia Wote Ijumaa Kareem.
  20. Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…