kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka sifa kedekede hadi lupango: Mkasa wa Rick Ross na tafakuri ya 'uchawa' nchini Tanzania

    Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya Maybach Music Group (MMG), William Leonard Roberts II (Rick Ross), amejikuta katikati ya dhoruba kali ya kisheria nchini kwake. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya msanii huyo kujipambanua kama msifiaji mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi kuhudumia tani milioni 54 za mizigo kutoka tani milioni 37

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imetuletea vibwego kutoka madiba

    Waliomuolewa huyu jamaa from madiba watwambie amesemaje
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jukwaani hadi "Sebuleni": Mmomonyoko wa Itifaki, Shida ya Uteuzi na Kuporomoka kwa Mifumo ya Udhibiti na Mizani katika Utumishi wa Umma

    Hivi karibuni, mwelekeo wa hotuba na matamko ya viongozi wengi wa umma nchini umeshuhudia mabadiliko makubwa yanayozua maswali mengi kuliko majibu. Kauli kama zile za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, zinazotoa vitisho vya kisaikolojia au kisheria kwa raia na madereva, zimekuwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kesho atapatikana Rais kutoka kundi hili

    Look, kabila gani? Kesho kuna rais wa nchi hapa hapa!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitandaoni na Bush lawyers: If a person tries to frighten, threaten, intimidate or force in relation to treason in Tanzania

    Bush lawyers tuna test mitambo Under Section 39 of the Tanzania Penal Code, treason includes actions carried out with the intent to intimidate, overawe, force, or constrain the Government of the United Republic, the Parliament, or the courts. Here are simple, hypothetical examples of how a...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Tanga kwenda Pemba changamoto sana

    Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi...
  10. JamiiForums Tanzania Pastor kutoka naijeria akiwashukuru US na Israel kwa kuwasaidia dhid ya magaidi ya kijihad wanaowaua ila wewe upo tegeta nyuki umewanunia israel na US

  11. JamiiForums Tanzania Kutoka nembo ya bibi na bwana kuwa nembo ya CCM kuanzia dola mpaka mahakama.

    Hii nembo kwa sasa imekufa sio ya wananchi ni ya CCM. Leo ukitaka kuwa na cheo lazima kuwa CCM
  12. JamiiForums Tanzania Nimezunguka kutoka singida(manyoni) to kigoma (kasulu) kwa kweli fursa nimeziona, nimejiona mjinga.

    Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu tunapokuwa mjini vijana tunawaza mambo makubwa sana, tunawaza biashara, skills, ufundi n.k mfano...
  13. JamiiForums Tanzania Watalaam, PIN ya Kuverify Adsense Account kwa njia ya Posta kutoka Google mbona haifiki?

    Wakuu, nimerequest PIN kwaajili ya Kuverify Adsense Account, nimesharudia mara 3 sasa, ila haiji. Posta nimeenda sana (uzuri ni box private, na mtu wa Posta tunakutana so aliona jina langu lazima anishtue), ila wapi. Inamaana barua tatu zote zisifike? Na sijakosea address kwamaana barua...
  14. JamiiForums Tanzania Ado ampigia simu Waziri Aweso kuhusu shida ya maji Tunduru, asema atatuma timu kutoka Wizarani

    Mbunge Ado Shaibu Ado alipiga simu Waziri wa Maji Aweso wakati wa mkutano na wananchi katika kijiji chake ili kuwasilisha changamoto kubwa za maji.Wananchi walikuwa wamelalamika kwa muda mrefu kuhusu maji machafu yanayotolewa kwenye visima, hali iliyowafanya kunywa maji yasiyo safi. Waziri...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Barua Kutoka Jela ya Birmingham, Alabama na Mustakabali wa Siasa za Tanzania.

    Na: Kijana Wa Ifoza Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana. Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
  16. JamiiForums Tanzania Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uziπŸ™πŸ™ Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  17. JamiiForums Tanzania Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  18. JamiiForums Tanzania Kutoka DXOMark, Hii ndio Top 10 ya Simu zenye camera Kali hadi Sasa.

  19. JamiiForums Tanzania Matumizi ya ugoro yamekithiri sana kwa vijana wadogo just imagining mtu anaagiza ugoro kutoka Sweden..

  20. JamiiForums Tanzania Makonda: CRDB na NBC zimeshusha riba ya mikopo kwa wasanii kutoka 9% hadi 7%, baadhi ya masharti yameondolewa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Paul Makonda, ametangaza kuwa Serikali kupitia Mfuko wa Waandaji wa Maudhui (Content Creators) imefanikiwa kushirikiana na benki za CRDB na NBC kupunguza kiwango cha riba ya mikopo kwa vijana na wasanii kutoka asilimia 9 hadi asilimia 7. Makonda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…