Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Hehehe. Nyang'au sisi hatutambui chochote linapokuja swala la biashara. Tunafinya mpaka Wahindi wa huko India. Wakulima wao wanalia kwamba chai kutoka Kenya inauzwa bei ya chini na kuwaharibia biashara. Wanataka serikali yao iingilie kati. Hehehe waendelee kulia tu, sisi tutaendelea kuwafinya...
Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii.
Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa...
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
Leo nilipata wasaa wa kushuhudia Tamasha la Vichekesho kutoka kwa watani zangu pale Taifa.
Maana ilikuwa sio Tamasha bali ni vibweko tosha, hata ilikuwa bado kidogo nisahau kuwa ninapaswa kutazama Mwanajangwani aliyepoteza uelekeo kule Port Harcout - Nigeria. Kiufupi kichekesho kimojawapo...
1. Licha ya usajii mzuri hatukuwa tumeyachukulia serious michuano ya CAF.
2. Mafanikio ya Simba SC ya msimu uliopita yalifanya ionekane ni rahisi zaidi kuweka jitihada zisizo thabiti kufika mbali kwenye michuano ya CAF.
3. Pilika za usajili zilifanya tupoteze focus kwenye kuhakikisha ushiriki...
After the FBI seized Joseph Ruiz's life savings during a raid on a safe deposit box business in Beverly Hills, the unemployed chef went to court to retrieve his $57,000. A judge ordered the government to tell Ruiz why it was trying to confiscate the money.
It came from drug trafficking, an FBI...
Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram
Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima
Mungu kwanza mengine baadaye
Katika jitihada za kupunguza tatizo la upungufu wa watumishi wa afya, serikali kupitia wizara ya afya imezindua mpango maalum wa kuajiri kwa muda wahitimu wa kozi mbali mbali za afya ambao watakuwa wanafanya kazi kwa kujitolea katika hospitali na vituo vya kutolea huduma
Ni mpango mzuri kwani...
Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya...
YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA
Mh. Waziri Mkuu,
Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
NDUGU WATANZANIA NOMAAAA SANAA
Picha lenyewe linaanza mi nipo zangu natembea kuelekea kituoni. Hii barabara nayotembea ni ya changalawe na kando yake kuna wigo wa block mrefu sana kwenda juu na juu ya huu wigo kuna nyaya za Senyenge kwa msisitizo. Kwa kuwa jua ni kali sana kipindi hichi cha...
Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa.
Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi.
Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu
Mimi nilitegemea kusikia labda...
Nikiwa seminari tuliwahi kufundishwa kilatini ijapokuwa ntakuwa nimesahau maneno mengi bado nakumbuka msemo wa muhimu sana wa kilatini unaosema kama wengine wameweza kwanini mimi? Kwa kilatini Si isti et istae cur non ego? Msemo huu utatuongoza kwenye makala yetu ya leo tukitafakari hatua...
Hassan Mwakinyo Vs Julius Indongo
Rounds: 12
Winner: Mwakinyo kwa KO
Title: African Boxing Union Super Welter
Stay there! Matokeo yatawekwa yote ya mapambano ya utangulizi hadi main card
Pambano la kwanza la utangulizi
Fighters: Kazumba Vs Ayoub Athuman
Rounds: 6
Winner: Ayoub Athuman kwa KO...
Waziri wa Tehama Dkt. Ndugulile amesema kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano ya kampuni ya simu na mteja wake.
Hii ni katika lengo la kuondoa utapeli na wizi na kwa maana hiyo namby za kawaida haziruhusiwi kutumika.
📍 Taarifa📍
Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz
Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa.
Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.