kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, unadhani huyu Meya wa Manispaa ya Moshi hapa alikuwa anawalenga hasa 'Wageni Wasafiri' kutoka Mkoa gani?

    "Tafadhali mnaotoka Mikoa iliyozoea Uchafu na haina Ustaarabu wa Usafi na Mazingira muwapo hapa Moshi katika Sikukuu hizi za mwisho wa mwaka zingatieni Usafi mlioukuta na kwa wale watakaokaodi na Kuchafua Jiji letu wanaweza Kujikuta January 2022 wanaianzia wakiwa Jela" amesema Meya wa Manispaa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbowe, Jumapili ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu/Jela, itumie kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako

    Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo. Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
  3. J

    JamiiForums Tanzania FY2021/22 Bajeti ya barabara Singida yaongezwa kwa 370% kutoka TZS 6.1BL hadi TZS 22.4BL

    === WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kuzitunza barabara zilizojengwa na Serikali ili ziweze kudumu muda mrefu. Mhe. Ummy ametoa ombi hilo wakati akizungumza na wananchi hao...
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Barua ya Kichungaji Kutoka kwa Askofu Renatus Nkwande Kuhusu Maandalizi ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki itakayohitimishwa Roma 2023

    Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania Usuli Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.” Maadhimisho...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

    Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....) Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  8. JamiiForums Tanzania Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

    Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena. CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu! Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
  9. JamiiForums Tanzania Kama kuna zuio la kuingiza mafuta ya kula kutoka nje, Tunaomba liondolewe wananchi tutakufa jamani

    Nadhani kuna zuio la kuingiza mafuta kutoka nje ya nchi jamani zuio hili kama lipo liondolewe maana hali saivi ni hatari sio siri jana nimeuziwa mafuta ya kula lita moja 7500/= nimeshangaa sana, hivi mbona mambo yanakua magumu kiasi hiki, sasaivi tumerudi enzi za kupika chakula bila mafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Mpenzi wa kutoka nae x.mass

    Kama uko single umri usozidi miaka 35 kuna ofer ya kutoka na mimi siku ya x.mas na siku zijazo Uwe njanda za juu kusini mikoa ya iringa mbeya na sumbawanga. Karibu pm
  11. JamiiForums Tanzania Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

    Mungu hajawai kuumba vyeo vya watu bali aliumba watu na watu wanayao bila kujali vyeo wala nafasi zao VATICAN CITY (Reuters) - Cardinal Peter Turkson, seen by some as a candidate to become the first African pope in about 1,500 years, has abruptly offered his resignation from a key Vatican...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
  13. JamiiForums Tanzania Itapendeza na inawezekana rais ajae awe mzanzibar, ni nani atafaa kuwa makamu wa rais kutoka Tanzania bara

    rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

    Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Posta Tanzania yapokea ugeni kutoka Posta Kenya, lengo ni kukuza mahusiano na ushirikiano wa kibiashara

    POSTA TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA POSTA KENYA Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amepokea ujumbe kutoka Shirika la Posta Kenya. Ujumbe wa Posta ya Kenya umeongozwa na Postamasta Mkuu wa Shirika hilo Bw. Daniel Kagwe akiambatana na Maafisa waandamizi...
  16. JamiiForums Tanzania Watalii kutoka South Africa bahili Sana!

    Nimekua katika industry hii ya Utalii. Yapata miaka 9 sasa hapa Unguja (Nungwi). Aisee hakuna watu bahili Kama vibibi toka South Africa wakija hamna tip Wala nn? Ukijidai kuvitongozah ndio balaa zaidi. Bora mabibi wa-kitaliano, wapo social na ukimpa show Kali anakuachia Dola za maana. NB...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa mtu binafsi (Dar es Salaam)

    Wadau salaamu, Nahitaji mkopo wa haraka na dharura kutoka kwa mtu binafi wa kiasi cha milioni 2, nitarejesha kwa riba ya 40% baada ya mwezi 1. Dhamana: 1. Gari langu rav4 namba D (nitakabidhi certified copy ya kadi ya gari) 2. Biashara yangu ya bucha (ilioko Bunju B - Mabwepande) Naomba...
  18. JamiiForums Tanzania Story time: Amfuata mwanamke Sweden kutoka India kwa baiskeli

    Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini. Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
  19. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Hi guys. Hope mnado poa. Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2. Hii ni nyepesi nyepesi. At Calvary. ==== Taarifa kwa Vyombo vya Habari. Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine...
  20. JamiiForums Tanzania WHO yaonya kuhodhiwa kwa chanjo kutoka na aina mpya ya kirusi cha Omicron

    Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza usambazaji wa chanjo hizo kote duniani hali itakayotatiza juhudi za kukabiliana na janga hilo. Mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…