kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  2. R

    Kipi Bora, kukaa ndani usubiri kutekwa, au kutoka nje kuandamana?

    Salaam! Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa, Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk. Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo vya utekaji.. Sasa machaguo ni mawili; 1. Kukaa ndani usubiri mlango uvunjwe, wakupoteze ujumla...
  3. R

    TAKUKURU na Rushwa

    Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa. SWALI KWENU HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI. ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
  4. Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

    Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
  5. Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  6. Thobias Mwesigwa: Kutoka kwenye familia masikini hadi kuwa 'Mratibu wa Utekaji'

    Ni usiku wa manane hapa Trump land, lakini Sina usingizi kabisa naiwaza nchi yangu. Leo naomba mmjue huyu Thobias aliyegeuka kuwa kilio kwa familia nyingi. Tobias Richard Mwesigwa alizaliwa katika kitongoji cha Nyarubanja, Kijiji Cha Rukurungo, kata ya Bugandika, wilaya ya Missenyi, mkoani...
  7. B

    Humphrey Polepole ni Nyerere na Mandela wa zama zetu aliyetwaliwa kutoka kwetu na wasiolitakia mema Taifa hili!

    Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge toka? Polepole kama Lissu, Nyerere au Mandela hawakuchagua kuzikimbia nchi zao na eti kwenda...
  8. GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  9. Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  10. B

    Ufaransa: Balozi ajitupa kutoka Ghorofa ya 22 ktk Hoteli jijini Paris, na Kupoteza Maisha

    Cape Town, South Africa Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen) Wenzake na marafiki wa Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa, wanaomboleza baada ya waziri...
  11. GE2025 Oktoba 29: UTATIKI au UTATOKA? Weka kura yako hapa!

    Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani 1. Wa kutiki 2. Wa kutoka Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025 Namna ya kupiga kura 1. Tunatiki 2.Tunatoka Au 1. ⚒ 2.✌🏿 NB: Kura za mitandaoni huamua...
  12. Khun Sa, kingpin wa dawa za kulevya kutoka Burma aliyemiliki jeshi lake binafsi

    Khun Sa (aliyejulikana pia kama Chang Chi-fu au Sao Mong Kwan) alikuwa kingpin wa biashara ya madawa ya kulevya na mwanaharakati wa kivita kutoka Myanmar (zamani Burma). Alizaliwa tarehe 17 Februari 1934 katika kijiji cha Loi Maw, wilaya ya Mongyai, Jimbo la Kaskazini la Shan. Alikufa tarehe 26...
  13. I

    Usipuuze Sauti Hizi 6 Kutoka Kwenye Kompyuta Yako — Ni Dalili Kubwa ya Hatari

    Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika ghafla kuwa kubwa zaidi, za ajabu, au zisizo za kawaida, hapo ndipo tatizo linaanza. Leo tutaeleza...
  14. GE2025 Tito magoti: Lissu amekataa offer kutoka kwa Samia ili aachiwe

    Anaandika kwenye ukurasa wa X dakika kadhaa zilizopita huko Anasema hivi Scenarios za washauri wa kizimkazi: 1. Lissu afungwe alafu atolewe kwa msahama wa Rais - lengo akose sifa ya kugombea Urais. 2. Amekuwa offered kuachiwa kwa sharti aondoke nchini. Simba kakataa, hafanyi biashara...
  15. Hawa ni baadhi tu ya wachezaji ambao walirithi vipaji kutoka kwa wazazi wao

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana. Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball). Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
  16. Kituo cha Discovery Channel kimebadilika kutoka Elimu hadi Burudani za kuhadaa

    Kuna kipindi fulani, hasa miaka ya 1990 hadi mwanzoni mwa 2000, jina Discovery Channel lilikuwa alama ya heshima kwa yeyote aliyependa kujifunza kupitia runinga. Ilikuwa ni “chuo cha nyumbani,” chenye vipindi vya kuvutia juu ya sayansi, historia, teknolojia, safari na siri za ulimwengu ambazo...
  17. Familia kutoka Uingereza imeuza nyumba yao ya £500K na kuhamia Africa wakidai maisha ni mazuri zaidi huku

    Familia moja kutoka Uingereza imehama kwenda umbali wa maili 5,000 baada ya kugundua kwamba walikuwa wanaishi “kwa kusurvive tu” wakiwa Uingereza. Natalie Furk, mwenye umri wa miaka 35, na mumewe James, mwenye umri wa miaka 37, pamoja na watoto wao wawili, walihamia kusini mwa Afrika baada ya...
  18. R

    Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  19. Kwanini tuliacha kurithi kutoka upande wa mama/kwa wajomba?

    Zamani wabantu wengi wa pwani ya Tanzania ya leo walikiwa ni matrilineal societies. Zamani kwa Wazaramo na watu wengine wa Pwani mtu mwenye wapwa aliheshimika kuliko mwenye watoto. Yaani watoto wa dads yako walikuwa na thamani kuliko wako. Hata ukifa mali walirithi watoto wa dada yako. Na...
  20. Ni kwanini tunaagiza kuku kutoka Brazil wakati ardhi tunayo?

    Ghana is setting its sights on becoming the largest chicken producer in Africa within the next three years. Local farmers will be supported with day-old chicks, affordable feed, and modern processing facilities to scale up production nationwide. The goal is to drastically reduce reliance on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…