kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  2. Profesa Jay: Afya yake imefikia huku…aliendesha kutoka Bukoba, Aliandaa wimbo afanye na Zuchu, kuna Wahuni…

    Black Rhino ambaye ni mdogo wa Profesa Jay amezungumzia kuhusu maendeleo ya kaka yake ambaye amelazwa Muhimbili. Joseph Haule au Jay ambaye ni mwanasiasa na msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, alikuwa yuko sawa, alienda Bukoba akafanya shoo fresh tu na kudrive kurudi Dar na kuendelea na mishe...
  3. Nizingatie nini napotaka kununua kiwanja kutoka kwenye kampuni ya kuuza viwanja?

    Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo. Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku...
  4. Plot4Sale Shamba linauzwa hekari 5 lipo Kerege Bagamoyo 5km kutoka barabara Dar – Bagamoyo lina miti ya mitiki

    LINA MITI YA MITIKI
  5. S

    Ligi hii imeshaharibika na hakuna Mdhamini kutoka ndani ataekubalika kwasababu ya "Usimba" na "Uyanga"

    Ligi kuu yetu imetawaliwa au niseme inaathiriwa na usimba na uyanga, na baada ya GSM kujitoa, mdhamini yoyote ataefuata hataaminiwa na atatuhusishwa na Simba na mgogoro utaanzia hapo (kukomoana). Si ajabu mwaka huu tukawa na ligi ya hovyo kabisa huku usimba na uyanga ndio ukiwa chanzo. Kuna...
  6. Sadio Mane, picha la kutisha kutoka hotelini baada ya kubeba AFCON

    Sadio Mane akiwa hotelini baada ya fainali ya AFCON.
  7. Rafiki yangu karudi kutoka Uingereza, nimechoka dharau zake

    Habari Wakuu! Kukaa miaka mitano tuu ndio ujifanye Mzungu? Kukaa miaka mitano tuu ndio ushindwe kuongea Kiswahili bila kuchanganya na kimombo? Ati mjanja! Ati anajiita Civilized, Mpuuzi tuu! Kitu kidogo utasikia; yaani wabongo hampo civilized! Mara ataje Ridiculous! Na msamiati mingine...
  8. K

    Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
  9. Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

    Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar. Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba.
  10. S

    Ni faida kubwa kwa Yanga kutoka sare na Mbeya City

    Hii ni kwasababu: Mbeya City ni moja ya timu inayotoa upinzani, hivyo matokeo ya mechi baina ya hii timu na timu zingine zinazofukuzia ubingwa, ni matokeo decisive katika kuja kutoa bingwa. Kwa maneno mengine, timu vigogo(Simba, Yanga na Azam) ni lazima zihakikishe zinaishinda ama kutoka sare...
  11. M

    Tunajifunza nini juu ya unafiki wa Zitto Kabwe? Kutoka mwanasiasa aliyejinasibu kupinga ufisadi hadi kuwa kibaraka wa mafisadi

    Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi. Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo. Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya...
  12. Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar to Tanga

    Naombeni kujua njia rahisi au kufahamu magari ya kusafirisha mizigo kwenda Tanga wapi yanapaki kwa Dar na gharama sh. ngapi wakuu.
  13. TANZIA Staa wa tamthilia ya Ertugrul, Artuk Bey afariki dunia

    Muigizaji wa tamthilia pendwa zaidi kwa sasa ya Uturuki ya Ertugrul, bwana Ayberk Pekcan maarufu kama Artuk Bey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 51. Ayberk ambaye amecheza kama, Artuk Bey kwenye tamthilia hiyo ya Ertugrul, amekuwa akisumbuliwa na kansa kwa miezi kadhaa. Familia ya...
  14. Kuagiza mzigo kutoka Canada kwa njia ya posta

    Habari za muda wakuu. Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka. iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie...
  15. Rapa mpya kutoka A Town

    Ninaitwa Ellisha James kutoka Arusha tuliwahi kuunda kundi moja na Motra the future,Raff Emcee na Sight Moe lililoitwa KINGS- Kijenge,Ngalimi na Sekei Hii hapa ni ngoma yangu mpya, inaitwa #Ungalimited Tafadhali sikiliza/KUTAZAMA kisha unipe maoni yako yatakayonijenga.
  16. Je, ni Maruhani ya kiarabu kutoka kwa kocha yanaisaidia Yanga?

    Mtangazaji mahili wa soccer hapa nchini bwana Oscar Oscar, eweka wazi kwamba kitu wanachoweza yanga ni uchawi na ushirikina. Ikumbukwe kuwa akina mzee Mpili walijaribu kuiroga simba lakini hawakufua dafu. Tuseme kwa sasa maruhani kutoka warabuni yameingizwa!? Maana tunajua wenzetu kwa...
  17. Trafic wageuza JKT Mlalakuwa chanzo binafsi cha mapato kutoka kwa daladala

    Habari wakuu, Wakati sakata la rushwa kwa matrafik likiendelea nimewakumbuka Trafic 'wanaotega' kabla kidogo ya daraja la JKT Mlalakuwa (Wana kibanda chao pia pembeni). Ndugu zetu hawa asubuhi huzisimamisha daladala zote zinazoelekea Kawe kupitia Old Bagamoyo na kawaida huchukua 2,000 kwa kila...
  18. Wakati Simba ikimtangaza Chama, Yanga yamtangaza Ibrahim Bacca Kutoka KMKM Zanzibar

    Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni. "The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake mtaa wa jangwani unaojulikana kwa kuwa na mafuriko kila mwaka, imemtangaza beki kutoka KMKM Zanzibar...
  19. Watoto wagonjwa kutoka Kenya waja kutibiwa JKCI

  20. Mambo ambayo Viongozi wanapaswa kujifunza kutoka kwa panya Magawa

    MAMBO AMBAYO VIONGOZI WANAPASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MAGAWA. Kwanza nianze kutoa pole kwa wale wote walioguswa na kifo cha panya shujaa Magawa aliyekuwa mahiri katika kazi yake ya kutegua mabomu yaliyotegwa ardini. Katika makala haya tutaeleza mambo kadhaa ambayo vionozi wanapaswa kujifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…