It will take hundreds of years for Tanzania to get a president like Magufuli

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,443
8,288
Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....

Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......

Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......

Kwa Sasa watu wamevaa uso wa mbuzi cha Moto tunakipata.
 
Attachments

  • VID-20220826-WA0015.mp4
    1 MB
Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....

Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......

Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......

Kwa Sasa watu wamevaa uso wa mbuzi cha Moto tunakipata.
To get a killer, dictator. Where is Azory gwanda, where is Ben Saanane!
magufuli the Killer
 
Kwani alifanya Nini huyu Jamaa.? mbona mnataka kufa na uzushi wake nyninyi? Mbona wa TZ tunapenda mambo ya kijinga. Hatari ya DIKTETA MAGUFULI mjukuu wako ndio atakuja kuiona
 
Hiyo kauli ya 100 years kumpata mtu kama magufuli inatumika na watu wenye mahaba binafsi na wanasiasa tu, Lakini binadam tuliohai tunaamini katika waliohai kuliko wafu ni jambo la kubet hata Uchaguzi ujao si ajabu akapatikana aliebora kuliko Magufuli. Huo ni upotoshaji wa kisiasa.

Magufuli alijarbu kuongoza nchi kwa hisia na mitazamo binafsi kama wewe ulivyo na mahaba binafsi. Pole sana.
 
Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....

Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......

Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......

Kwa Sasa watu wamevaa uso wa mbuzi cha Moto tunakipata.
Haitakuja kutokea kiongozi kama huyu kupata kutokea nchini Tanzania... Tanzania is worst country, yaani sirudi nyumbani..
 
Mbona unatukumbushia watu wa hovyo ndugu yangu, na ndo aliyeacha uozo unaochafua Hali ya hewa leo! Kikubwa tuangalie ajaye 2025, umasikini wetu wa akili Ni kusema ccm inapita tu, ishu sio kupita inampitisha Nani?
 
Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....

Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......

Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......

Kwa Sasa watu wamevaa uso wa mbuzi cha Moto tunakipata.
KALAGHABAO HATUITAJI KABISA HILO!
 
Back
Top Bottom