kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
  2. Picha Adimu za TANU Kutoka Maktaba ya Marehemu Ally Sykes

    Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes. Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini. Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
  3. Taarifa kwa Wanaoagiza Bidhaa Kutoka China

    Hello Everyone! Tahadhari muhimu kutoka ubalozi wa Tanzania nchini China. Tunatakiwa kufanya yafuatayo Ili kuepuka kuibiwa na makampuni hewa👇
  4. K

    Ukaguzi wa magari yaliyotumika kutoka Japan kufanyika hukohuko itasaidia kupunguza figisu

    Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan. Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja...
  5. Jamii wameiga(Kujifunza) nini kutoka kwako?

    Kuna jambo lolote unahisi katika familia, Wilaya, mkoa, Taifa au Dunia kwa Ujumla lilinzia kwako ndipo watu wakaliendeleza katika jamiii liwe baya au zuri au la kuvutia au kukera lakini wewe ndio muasisi. Tuthibitishie hapa!! Kwa mfano kuna maneno yalitamkwa na wanasiasa na wanamuziki miaka...
  6. Watanzania watakavyonufaika na mkopo wa TZS trilioni 2.4 kutoka IMF

    Kabla sijaanza kueleza ni kwa namna gani Watanzania watanufaika na mkopo wa shilingi trilioni 2.4 kutoka Shirika la Fedha Duniani, kwanza ifahamike kwamba hakuna nchi duniani ambayo haikopi, nchi zinatofautiana kiwango na sababu za kukopa. Baada ya hilo, nielekeza kwamba mkopo ambao Tanzania...
  7. M

    SI KWELI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
  8. M

    Nawezaje kuagiza Moja Kwa Moja kutoka kiwandani TBL na SBL kreti 1000 nazohitaji kuanza nazo kibiashara?

    Wakuu habari zenu, Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari. Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
  9. Gari kubwa (Fuso) latumbukia kwenye maji baada ya kudondoka kutoka kwenye Kivuko, Julai 18, 2022

    Gari la mizigo aina ya Fuso limetumbukia kwenye maji wakati lililopokuwa limebebwa katika Kivuko cha Kyanyabasa kilichopo Wilaya ya Bukoba Vijijini Mkoani Kagera. Shuhuda wa tukio hilo lililotokea katika Mto Ngono, Datsun Zacharia amesema: “Hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa "Chanzo...
  10. S

    Majina ya Sensa ya mikoa yote yalipaswa kutoka kwa pamoja na sio hivi kwa mafungu mafungu

    Kwakweli inashangaza sana Tangu jana naona majina yanatoka nusu nusu.....mara wilaya hii mara wilaya ile ila cha ajabu mpaka sasa sijaona majina ya walioitwa kwenye usaili kwa mkoa wa Dar Mwanzoni wa huu mchakato tangu kwenye hatua kutuma maombi niliamini mambo yatakwenda kisasa zaidi kwamba...
  11. Baadhi ya majina kutoka Kenya yameongezwa kwenye Oxford English dictionary

    Baadhi ya majina kutoka Kenya ambayo yameongezwa kwenye Oxford English dictionary ni pamoja na "chapo", "githeri", "mpango wa kando", "chang'aa" na kadhalika. Chapo, Githeri, Mpango Wa Kando Among Kenyan Words Added To Oxford Dictionary By Joseph Muia For Citizen Digital Published on: July 15...
  12. M

    SI KWELI Kila mwanakikundi wa Ngoma kutoka Bagamoyo aliyeenda Marekani kuzindua Royal Tour alipewa Tsh. Milioni 3 kwa siku

    Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
  13. Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol apanga kukata mishipa ya uzazi

    Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto wake wa kwanza. Baraza anasema suala la upangaji uzazi katika ndoa linafaa kuwa la wapenzi wote na...
  14. WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

    Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
  15. K

    Car4Sale Agiza au nunua gari kutoka kwetu

    Ondoka na hii Toyota Rumion 2007 ✅CC 1490 ✅2WD ✅Black Mettalic ✅ Automatic ✅Utumiaji wa Mafuta 16.2km/l ✅Bima bure(Third party) ✅BEI:17M Pamoja na usajili LIPA 5M Gari ikifika malizia ama lipa nusu gharama nyingine lipa kidokidogo kwa mwaka mzima(mkopo) Ipo #MillesMotors Sinza Mori...
  16. Rais Samia Suluhu amedhamiria kuodoa utegemezi wa ngano kutoka nje

    Tanzania imeandaa mkakati kabambe wa kuondoa kabisa utegemezi wa zao wa ngano kutoka nje ambapo malengo yaliyowekwa hadi ni kufikia uzalishaji wa tani milioni moja ifikapoi 2025. Tanzania huagiza ngano kwa wingi kutoka Urusi na Ukreini ambapo kutokana vita katika nchi hizo, kumepelekea uhaba wa...
  17. Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Leo tarehe 12/7/2022 ni siku muhimu sana kwa wapenzi wa space exploration. Furaha hii inachangiwa na NASA wakishirikiana na agencies wengine kuweza kutoa rasmi picha na tafiti za kwanza kabisa kutoka katika darubini 🔭 ya JWST. Kabla ya kuendelea ningependa kushare na wewe msemo huu kuwa ili...
  18. Msaada: Unaagizaje dawa kutoka nje ya nchi?

    Hello wakuu, naomba kuuliza Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani? Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol . Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant za Nivea. Mwenye kujua utaratibu anisaidie
  19. Vimto kutoka Saudia ni kinywaji bora kama utaweza jaribu kunywa hutajuta

    Asili ya kinywaji hiki kilitengenezs mwa kwanza Manchester Uingereza miaka ya 1800+. Ni mchanganyiko wa berries na zabibu zilizosagwa pamoja na viasilia vingine. Kinywaji hiki kilitumiwa sana na wanajeshi wakati wa WWI, walifungiwa mabox ya Vimto na kuoekekewa huko mstari wa mbele. Miaka ya...
  20. RASMI: Singida Big Stars tumeinasa saini ya Abdulmajid Mangalo kutoka Biashara United

    Watu wa Soka, Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni BIG STAR. Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili. Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…