Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.
Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.
Tumeonana December mwishoni tulipoenda...