msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 616
- 487
Wakuu habari za majukumu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina Gari spacio new model nilipata Ajali nikapinduka nayo matairi juu baada ya kuparamia gema, haikuchukua dk kumi nikasaidiwa Gari tukainyanyua.
Engine haina mbinyo wowote isipokuwa rejeta imesogea kidogo na iliingiwa na udongo, lakini hakuna leakege, sasa ishu mashine ikawa haiwaki ukipiga starter Kama vile betri iko down ikabidi nibadili betri tatizo liko palepale.
Ikabidi nitafute fundi kucheck, tukakaanza kwa kuzungusha engine(Mannually) kucheck kama iko sawa, tukasafisha spark plug, pia tukagundua njia za air cleaner zilikuwa na oil mpaka kwenye kasha.
Baada ya kusafisha tukawasha Gari ikawaka, mwanzo ulitoka moshi mwingi sanaaaa Kama jalala linachomwa moto, lakini ikazidi kupungua mpaka kufika kidogo, sasa ukipiga resi unatoka huo moshi mweupe na Kama vimajimaji mchanganyiko wa Kama mafuta meusi.
Pia coolant inapungua sasa sijajua tatizo ni nini maana huyu fundi ananiambia oil ilichanganyika na petrol kwahiyo hiyo hali ya moshi mweupe itapita, sasa napata wasiwasii ndo mana nimekuja jamvini nipate uelewa na ushauri mzuri.
Samahanini kwa uandishi mrefu yote hii ni kujaribu kutoa taarifa sahihi.