kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi maamuzi mabovu yalivyoifilisi benki ndani ya saa 48, wateja waliomba kutoa dola bilioni 42 kwa siku moja(Mara mbili ya bajeti ya Tanzania)

    Silicon Valley Bank inayosifika kuwa muhimu kwa kampuni za kiteknolojia hasa zinazoanza na kukua imedondokea pua na kuwa benki ya pili kubwa nchini Marekani kudondoka tangu kumaliza kwa mdororo wa uchumi wa mwaka 2008. Mdororo wa 2008 ulianzia nchini Marekani baada ya mabenki mengi kuporomoka...
  2. JamiiForums Tanzania Jaji aonya wazazi kuwatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Jaji Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Jaji Ngwembe amesema hayo wakati akitoa elimu ya msingi ya sheria kwa wananchi mkoani Morogoro wanaofika katika...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Badala ya kusema VICOBA sio vizuri, tumieni muda huo kutoa Elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha

    Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA. VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na unafuu wa riba na upatikanaji wake kulinganisha na taasisi nyingine za kifedha na zimesaidia...
  4. JamiiForums Tanzania NBS: Mfumuko wa bei umeshuka kutoka 4.9 hadi 4.8

    TAARIFA KWENYE VYOMBO VYA HABARI FAHIRISI ZA BEI ZA TAIFA KWA MWEZI FEBRUARI, 2023 Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imepewa mamlaka kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu Sura 351 ya kutoa, kusimamia na kuratibu upatikanaji na usambazaji wa Takwimu Rasmi nchini ikiwa ni pamoja na takwimu za Mfumuko...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kutoa kauli ya "Mwanaume ni yule anayejiamini" ni kijembe Kwa Hayati Magufuli?

    Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi. Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza ukaoa halafu ukagoma kutoa mahari?

    Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa? Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo cha kuwa mahari lazima iwe imetolewa?
  7. JamiiForums Tanzania Baada mpango wao wa Ulaghai wao kufeli na mambo kuanza kwenda kombo, Fei na genge lake waanza kutoa mapovu

    Naam, Baada ya hukumu ya awali iliyotolewa na kakamati ya TFF, Fei akiongozwa na genge lake walisema wataomba revie na ikibidi watajiandaa na kuchukua hatua ya kwenda CAS. Niltegemea utekelezaji wa walichokisema kuwa ndo jambo sahihi zaidi katika taratibu za kisheria, kwani baada ya hukumu...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Hatujaibania starlink kutoa huduma ya intaneti, Elon Musk bado hajakidhi vigezo tulivyomuwekea

    Waziri Nape Nnauye amesema hawajaibania Starlink kutoa huduma ya intaneti nchini bali ni kuwa Kampuni hiyo inayomilikiwa ns tajiri Elon Musk haijakidhi vigezo ilivyowekewa na serikali ikiwamo kufungua ofisi nchini Tanzania. Amesema vigezo hivyo vimewekwa na serikali ili kumlinda Watanzania...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuahirisha game ama kuilazimisha kishingo upande kwa sababu ya mtu kuwa mchafu?

    Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana. Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba nimezimika, mtoto akaelewa. Siku ya jumapili haendi kazini basi ndo tukapanga liwalo na liwe, mie nikiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda akitaka Chuo cha MJNUAT kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake

    Na WyEST, BUTIAMA - MARA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama mkoani Mara kujikita kutoa mafunzo kwenye eneo la kilimo kwa upana wake ambao ndio msingi halisi wa...
  11. JamiiForums Tanzania CHUNGA KUTOA UHAI MTU KISA PESA

    KAMA UNATAFUTA PESA TAFUTA PESA, MAOMBI OMBA AFYA NJEMA NA UONGOFU 1. PAMBANA UWEZAVYO PESA HAINA MWENYEWE NAWE UNAWEZA KUWA MILLIONEA. 2. MATAJIRI WANAUSISHWA NA USHIRIKINA KWA KUWA PESA IKO NA MAMBO MENGI, HII INAFIKIRISHA LAKINI SIO KILA TAJIRI ANAJIHUSISHA NA MAMBO YA KISHIRIKINA HAPANA. 👉...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

    Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde. Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa msaada wako kwa maafa yalitokea Uturuki na Siria

    At the beginning of this week, a strong 7.8 magnitude earthquake shook parts of southern Turkey and northern Syria. For those who wish to help out the affected regions, here are some options for donation links you can look into 👉 AFAD Turkey's Disaster and Emergency Management Presidency: 🔗...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay kusherehekea wasanii wa Afrika waliochaguliwa kwenye Tuzo za Grammy kwa kutoa ‘free subscription’

    Sekta ya muziki duniani inajitayarisha kwaajili ya usiku mkubwa wa mwaka kupitia tuzo za 65 za Grammy. Huku wasanii wa Kiafrika wakipokea teuzi za kihistoria katika kategori tofauti mwaka huu, App inayokua kwa kasi katika utoaji huduma ya kupakua na kusikiliza muziki barani Afrika, Boomplay...
  15. JamiiForums Tanzania Kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania

    Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania: 1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi 2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi. 3. Mining Engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi. 4. Computer Science, 1,500,000 Tsh kwa mwezi. 5. Electrical Engineering...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Jaji Biswalo ana mamlaka ya kimaadili kutoa hukumu? Yaani na yeye huko aliko anafunga wezi na wanaotumia mamlaka vibaya?

    Sipati majibu. Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hukumu zenye utata kama hii ya Askari Morogoro huwa zinasababishwa na nini?

    Kuna kesi ya askari magereza aliyekuwa na tuhuma za kubaka mtoto huko Morogoro. Alipelekwa mahakamani na ikathibitika pasi na shaka kwamba alitenda kosa hilo na hakimu msomi akaitolea hukumu ile kutumikia kifungo cha maisha jela. Hiki ni kifungo cha kikatili ambacho lazima kusiwe na chembe ya...
  18. JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kati visipandishwe kutoa Degree

    Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree. Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa Ngazi ya Diploma kwa miaka mitatu wanatoka wakiwa watendaji/ wazalishaji wazuri sana. Hiyo Ngazi ndiyo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamekuwa walalamishi bila kutoa ushauri

    Wabunge wengi badala ya kutafuta suluhisho la mfumuko wa bei wanatafuta kiki tu. Tumemsikia Gambo na Bushiru wote wana lalamika na kuuliza maswali wakati waziri wa kilimo alishajibu tena kwa upana wake. Badala ya kulalama watoe suluhisho mfano 1. Je wanafikiri ruzuku iongezwe na pesa itoke...
  20. JamiiForums Tanzania Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

    Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake. Naombeni msaada ni waharaka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…