Israel yaendelea kutoa kipigo kwa HAMAS huku dunia ikiibembeleza isijibu Iran

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,451
Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya kimya, hawapigi makelele kuhusu wanachotaka kukifanya, tunashtukia wamefanya.

Kwa mfano kipigo walichotoa kwa ubalozi wa Iran, yaani hata maswahiba wao Marekani hawakua na habari, dunia iliamka siku moja tukaskia Israel imesambaratisha ubalozi na kuua wakuu wa kijeshi wa Iran.

Hapa naona wamerejea kwenye kuendelea kutoa kipigo kwa HAMAS.
===============================

DUBAI, April 15. /TASS/. At least five Palestinians have been killed and dozens more injured in an Israeli air strike on the Nuseirat refugee camp in the central part of the Gaza Strip, the Palestinian WAFA news agency reported.

According to it, Israeli planes destroyed a house northwest of the camp and a mosque nearby.

Tensions flared up again in the Middle East on October 7, 2023, when militants from the Gaza Strip-based radical Palestinian movement Hamas staged a surprise attack on Israeli territory from Gaza, killing residents of Israeli border settlements and taking over 240 hostages, including women, children and the elderly.

Hamas described its attack as a response to the aggressive actions of Israeli authorities against the Al-Aqsa Mosque on the Temple Mount in Jerusalem’s Old City. In response, Israel declared a total blockade of the Gaza Strip, home to 2.3 million Palestinians before the crisis, and has been delivering air strikes on Gaza as well as some parts of Lebanon and Syria. Clashes have also been reported on the West Bank.
 
Napata wasiwasi kwanini dunia inatumia nguvu nyingi kuishawishi Israel isishambulie Iran, kipi wanachokijua tusichokua na habari nacho, maana kama tujuavyo Israel ni wazee wa mipango ya kimya kimya, hawapigi makelele kuhusu wanachotaka kukifanya, tunashtukia wamefanya.
Kwa mfano kipigo walichotoa kwa ubalozi wa Iran, yaani hata maswahiba wao Marekani hawakua na habari, dunia iliamka siku moja tukaskia Israel imesambaratisha ubalozi na kuua wakuu wa kijeshi wa Iran.

Hapa naona wamerejea kwenye kuendelea kutoa kipigo kwa HAMAS.
===============================

DUBAI, April 15. /TASS/. At least five Palestinians have been killed and dozens more injured in an Israeli air strike on the Nuseirat refugee camp in the central part of the Gaza Strip, the Palestinian WAFA news agency reported.

According to it, Israeli planes destroyed a house northwest of the camp and a mosque nearby.

Tensions flared up again in the Middle East on October 7, 2023, when militants from the Gaza Strip-based radical Palestinian movement Hamas staged a surprise attack on Israeli territory from Gaza, killing residents of Israeli border settlements and taking over 240 hostages, including women, children and the elderly. Hamas described its attack as a response to the aggressive actions of Israeli authorities against the Al-Aqsa Mosque on the Temple Mount in Jerusalem’s Old City. In response, Israel declared a total blockade of the Gaza Strip, home to 2.3 million Palestinians before the crisis, and has been delivering air strikes on Gaza as well as some parts of Lebanon and Syria. Clashes have also been reported on the West Bank.
Nikifuatilia Historia ya ugomvi huu, nathubutu kusema ndiyo tunauona mwanzo wa kupotea kwa Theocratic Regime ya Mamullah wa Iran pamoja na Wapambe wao wa Hamas. Sababu zangu ni kuwa wamechagua upande mbaya wa historia ya ugomvi wa vita vya mataifa yenye Nguvu Duniani na kwa bahati mbaya wanafikiri mataifa hayo ( Urusi na China) watawasaidia kuliangamiza Taifa la Israel. Kitu kama hicho kilitokea kwa Waarabu wa Palestine Land wakiongozwa na Mufti of Jerusalem alipofanya alliance na Hitler. Walishindwa vita. Nchi za Kiarabu ( NB Iran haikuwa kundi hilo) wakati wa Cold War, zilimtegemea Soviet Union wakati wa vita zao za 1948, 1967 na 1973 matokeo yake walishindwa hizo vita zote na hatimaye Soviet Union ikavunjika. Nchi za kiarabu kama vile wamejifunza somo. Sasa hivi aliyeingia mtego huo ni Mamullahs wa Iran na wakiwachochea Wapalestina. Mwaka huu wa 2024 huenda ukatupa jibu.
 
Kichwa cha habari inabidi kisomeke hivi
BAADA YA KAMBI ZA ISRAELI KUGEUZWA KIFUSI KAENDA KUMALIZA HASIRA ZAKE KWA WANANCHI WA PALESTINE.
Sasa kaambiwa afanye kama anajikuna tu atupe hata jiwe tu Tehran aone nchi itakavyo pinduliwa juu chini.
Iran haijawahi kutuangusha amuulize bwana wake marekani alichofanywa kwenye kambi zake Iraqi tena walikua wanajisifu inakila ulinzi hata maraisi wao wanafikia hapo ila Iran aliifumua na hamna Marekani alichofanya alafu akaambiwa hilo ni kofi tu vipi kama angepigwa teke😄😃
 
Subiri utakavyofurahishwa na kipogo kinachokuja. Maayatollah wa Iran siku zao zinahesabika. Na Hamas watakuwa kama ISIS. HUU MWAKA HAUISHI.
 
Kambi za jeshi ziko imara, nyie mlipoteza ubalozi na majemedari, ila sisi tumepoteza binti mmoja, aise Israel imetiheshimisha hadi raha.
 
Kama gaidi mkuu alishindwa kufanya chochote baada ya kambi yake kupigwa kata finua ataweza mtoto wa gaidi.
Kashasema arushe hata jiwe tu ndani ya ardhi ya Iran au ubalozi wowote ule wa Iran nchi yeyote ile hapa duniani.
Majibu atakayo pata hayajawi tokea toka dunia iumbwe
 
Israel imechakazwa kwa kiwango cha kimataifa lakini vyombo vya habari kama kawaida vinaibeba Israel.
Marekani wanakumbuka kipigo walichokipata kutoka Iran walipomwua mkemia wa nyuklia wa Iran.
Base za kijeshi zilizopo mashariki ya kati zilichakazwa kwa kiwango cha kimataifa. Wanajeshi zaidi ya 100 wa Marekani waligeuka uji. Tangu hapo Marekani wanaiogopa Iran.
 
Subiri msije Anza kulialia
 
Subiri msije Anza kulialia
Hakuna kitu hapo. Hezbollah tu waliipigisha kwata Israel zaidi ya miezi mitatu, mpaka wakasalimu amri, itakuwa Iran ambayo hata Marekani wanaiogopa?
Marekani wangekuwa hawaiogopi Iran wasingeiomba Israel kujizuia kulipa kisasi.
 
Dunia ipi mkongwe!?
Au unazungumzia dunia from the PARALLEL UNIVERSE!?

Wavaa dera kila mkiona hii picha muwe mnapata aibu

640px-Iran_Israel_Locator_%28without_West_Bank%29.png
 
Kambi za jeshi ziko imara, nyie mlipoteza ubalozi na majemedari, ila sisi tumepoteza binti mmoja, aise Israel imetiheshimisha hadi raha.
Mimi siyo muumini wala shabiki wa upande wowote ila wewe jamaa yangu kama huna nasaba na israel bora uchague timu ushabikie mpira maana unatia aibu hakika maana nimefatilia nyuzi zako nyingi ukisema Iran haiwezi kurusha jiwe kwenye mpaka wa Israel sasa karusha mamia ya makombora , kwa kitendo hicho ulipashwa utengue ushabiki , yaani ni sawa na kumsifia mbakaji eti amekupunguzia upwiru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel imechakazwa kwa kiwango cha kimataifa lakini vyombo vya habari kama kawaida vinaibeba Israel.
Marekani wanakumbuka kipigo walichokipata kutoka Iran walipomwua mkemia wa nyuklia wa Iran.
Base za kijeshi zilizopo mashariki ya kati zilichakazwa kwa kiwango cha kimataifa. Wanajeshi zaidi ya 100 wa Marekani waligeuka uji. Tangu hapo Marekani wanaiogopa Iran.
Kwani maadui wa Israel wamekatazwa kurusha hizo taarifa za uharibifu dunia ione?
 
Back
Top Bottom