kuteuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
  2. JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha: Kama huna sifa hizi sahau kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa kiongozi hapa Tanzania

    Ndugu mtanzania mwenzangu, Wewe unayetamani siku moja kuwa kiongozi wa taifa hili kwa kuteuliwa au kuchaguliwa ni vyema ukafahamu siri hizi ili kama hauna sifa hizi uanze kujipanga mapema. Zipo sifa ambazo ukiwa nazo ndipo utaweza kuwa kiongozi wa taifa hili. Na hizi zinatumika katika mataifa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza uwajibikaji katika nafasi za kuteuliwa

    Utaratibu wa uteuzi kwa jinsi mamlaka husika itakavyoona inafaa huenda ulifaa sana miaka ya zamani kutokana na uhaba wa wasomi na sababu za kiusalama. Kwa miaka ya sasa ambapo mbinu za kiusalama zimekuwa za kisasa zaidi na wanafunzi takriban 100,000 wanajiunga na vyuo vikuu kila mwaka, nchi yetu...
  4. JamiiForums Tanzania Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kijiji cha Kasheshe, Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya...
  5. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  6. JamiiForums Tanzania Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli

    Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  8. JamiiForums Tanzania Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
  9. JamiiForums Tanzania MJADALA HURU: Nini kimeshusha Maadili kwa Viongozi wa Kuteuliwa?

    Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada. Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

    Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi. Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
  11. JamiiForums Tanzania Aliyeteuliwa Ubunge akiwa mahabusu kuhojiwa Mahakamani leo

    Jopo la mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linatarajiwa kuendelea kuwahoji wabunge wa viti maalumu waliovuliwa uanachama wa chama hicho, huku kesho wakitarajiwa kumhoji Nusurati Hanje. Mawakili hao wa Chadema wanaendelea kuwahoji baadhi ya wabunge hao kuhusiana na ushahidi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba kuteuliwa Mjumbe wa NEC

    Dar es Salaam Wanaogombea nafasi ya NEC ni aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Sophia Simba, January Makamba ambaye ni mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nishati. Pia, yumo Iddi Azzan ambaye ni mbunge wa zamani wa Kinondoni, mbunge wa sasa wa Kinondoni, Tarimba Abbas na Josephat...
  13. JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
  14. JamiiForums Tanzania Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

    KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA "Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM. Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze...
  15. JamiiForums Tanzania Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

    Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali, == Mhe Joanfaith akiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Ukitenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa urejee mshahara ule wa awali kabla hujateuliwa

    Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa. Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Duru: Shamsi Vuai Nahodha kuteuliwa awe Waziri anayeshughulikia Muungano

    Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri. Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Viti Maalum na wale wa kuteuliwa na Rais wana faida gani katika Taifa?

    Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali. Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na...
  19. JamiiForums Tanzania Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

    Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya. Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu...
  20. JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia ajuzwe Wabunge 19 hawajawahi kuteuliwa na CHADEMA. Wameingia kwa kufoji nyaraka

    Hata kama Spika atawachukulia kuwa NI wanachama halali wa Chadema. Chadema imeshatoa ufafanuzi nyaraka zilizotumika kuwaingizwa bungeni zimefojiwa. Na wanaoandaa nyaraka hizo wameshatoa taarifa za sahihi zao na majina yao kufojiwa. Sijui wanataka Nani aje asibitishe Hilo. Wakati wewe unasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…