kutetea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sympathizers wa hamas wanapenda kujipa moyo na vimaneno kama hivi ili tu wafunike aibu ya kushindwa na kutetea ugaidi na utapeli

    "wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia" JIBU: ULITAKA WACHEKE "Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora" JIBU: WEWE HAPO ULIPO KWA SHEMEJI YAKO UMEISHAUNDA MTAMBO MGANI "Israel ni mashoga" JIBU: UMEJUAJE KAMA HAKUWAHI KUFANYA...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Karma Huwashughulikia Wamwaga Damu, Mawakili: Tujitolee Kutetea Bure, Damu za Watanzania Masikini Zinapomwagwa Kizembe Kwa Kisingizio Chochote!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024 Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
  3. Jamiitrailer

    JamiiForums Tanzania KUNA TOFAUTI KATI YA MURDER na ASSASSINATION: TUTAMBUE JAMBO HILO KABLA YA KUKOSOA NA KUTETEA.

    Baada ya rais kutoa hotuba kuwashutumu mabalozi waliohimiza uchunguzi huru na wa haraka,watu wanaoona mambo kwa rangi zake waliona matundu na kasoro katika hotuba ya rais. Jana,mwenye ID Malcom Lumumba alinyoosha maelezo kwa kina kuelewesha watu ni wapi rais alikosea katika hotuba yake...,na kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

    Ndugu Masheikh Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba. NIANZE NA SULE Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Musiba: Mawasiliano ndani ya Vyama vya Siasa, watu wanayaona! Mnyika asaidie Polisi kwenye Uchunguzi wa kuuawa kwa Mzee Kibao

    Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni kutetea Polisi wa Tanzania, waacheni wapambane na hali yao

    Viongozi wa CHADEMA ifkike mahala mkubali kuwa hawa watu so rafiki kwenui kwa vitendo wanaowafanyia, hivyo ni busara kuacha kabisa kwasemea ikiwemo kutetea masilahi ya Polisi wa nchi hii kama ambavyo mmekuwa mkifanya Bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Acheni kabisa kuongelea hali za makazi...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuna haja ya kuwa na Chama cha kutetea haki za wanaume

    Kwa hali ilivyo wanaume tutaendelea kuondoka mapema sana , tunaumia ndani na kufa kimya kimya huku wenzetu wanatetewa kila mahali Ukatili na unyanyasaji upo sana dhidi ya wanaume Kiwepo chama imara cha kulinda haki za wanaume Nawasilisha
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kumbe tarehe 8 August, 2024 tulijua iwe isiwe Tutafungwa nao tu ndiyo maana tukaandaa Mashabiki wa Kutetea Kikosi ili Kutuliza hali?

    Halafu Wenzetu wakiwa Kutwa wanatucheka JF kuwa hatuna Akili tunakuja hapa Kuwalaumu wakati wako sahihi 100%.
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taasisi za wanawake Iran washinikiza wanawake wawili wanaharakati wasinyongwe

    Taasisi za utetezi wanawake nchini Iran zinashinikiza utawala wa nchi hiyo kutowanyonga wanawake wawili wafungwa wa kisiasa waliopewa hukumu ya kifo hivi karibuni.
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wanawake nchi nzima wakiamka kutetea concept ya "MAMA" ambayo Lissu anaitukana kila siku, Lissu atahimili vishindo?

    Neno "MAMA" dunia nzima linavuma. Lissu anatembea nchi nzima akitukana "mama" kqtikati ya nchi yenye nyimbo za kumsifu mama. Katikati ya nchi ya watu wanasema waiolelewa na single mother baada ya kutelekezwa na baba zao. Nani hajui mama na umuhimu wake? Kwa nini mama atukanwe na mtu anayetaka...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

    Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !! Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Serikali litazameni hili suala kwa umuhimu wake kutetea maslahi ya watu wa chini

    Kwa Wamiliki wa Mitandao ya Simu na Serikali, Katika dunia ya leo ambapo mawasiliano ya simu yamekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, ni muhimu kuhakikisha kuwa wateja wana taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu mabadiliko yoyote yanayohusu bei na vifurushi vyao. Kupitia jamiiforum Mimi kama...
  13. Mr_Ndagiwe99

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
  14. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

    Napenda Kukiri kwamba mimi Ni mmoja wa watu wanaopenda Maendeleo ila Nachukizwa na Maendeleo yanayokuja baada ya kuuawa kwa watu yanaumiza sana watu wanabaki Mayatima na wengine Wajane inaumiza sana.. Itafika Kipindi wananchi watachoka Kuona uonevu huu Je tuko tayri kuona Wananchi wakireact na...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed: CCM Kuendelea Kutetea Wachimbaji Wadogo wa Madini

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimesema kitaendelea kuwatetea na kuwasimamia wachimbaji wadogo ambao wanaonzisha migodi midogomidogo ili waweze kunufaika kutokana na kuanzisha maeneo hayo. Hayo yamesemwa kwa nyakati tofauti na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Shemsa Mohammed kwenye...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati wa haki za akina mama ahukumiwa jela miaka 11 nchini Saudi Arabia kwa kutetea haki za wanawake

    Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake". Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

    Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata.. Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nakusudia kutetea Kiti cha Ubunge Uchaguzi Mkuu Oct. 2025

    Kutokana na maboresho ya sheria za uchaguzi na Tume huru ya uchaguzi nakusudia kutetea kiti ya ubunge. Nimewiwa kufanya hivyo baada ya record yangu ya maendeleo kwa wananchi kuwa nzuri sana jimboni. Lakini pia pressure ya wananchi kwangu kwamba niendelee na uongozi wa Jimbo, ili kusudi...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

    Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel. Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Jopo la Wanasheria wa Afrika Kusini wameiheshimisha Afrika, ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki

    Wanakumbi. Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza. • John Dugard • Max Du Plessis • Adila Hassim • Tembeka Ngcukaitobi • Tshidiso Ramogale •...
Back
Top Bottom