Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video.
Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta serikali kabla ya kuripoti ili kutoa ushirikiano lakini serikali iliingia mitini kwa siku takribani 25 sawa...
Wakuu.
Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal.
Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi.
Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, ameweka historia baada ya kukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa urais saa chache tu kabla ya Tume ya Uchaguzi kutangaza matokeo rasmi. Akihutubia taifa Septemba 24, 2025 Chakwera alisema: “Ni haki nikubali matokeo haya kwa heshima ya maamuzi ya wananchi na kwa...
Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi kuandamana kumtafuta
Inadaiwa huyo diwani alikuwa yupo upande mwita waitara, na mpinzani wake alikuwa...
Wakuu,
Ile siku ambayo ilikuwa inasuburiwa kwa hamu ni leo.
Ngoja tuone kitachojiri
=========
Wakati watu wakimsubiri Makalla, ukurasa rasmi wa CCM umepost picha hizi kwamba kikao bado kinaendelea
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya Mwenyekiti wa...
Ukiwasikiliza vizuri Donald Trump na Benjamin Netanyahu, kuna mchezo unafanyika ili kuiahadaa dunia na Iran. Netanyahu anasema lazima aangushe utawala wa kiimla wa Iran. Trump anasema amemzuia. Kwa wenye akili, hii ni ishara kuwa kuna kitu wanapanga. Kwanza, wawili hawa hawaaminiki. Pili...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za kazi TRA yatatangazwa Aprili 25 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA Aprili 23, mwaka huu...
Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika baadhi ya mitaa Jijini Mwanza yameanza kutangazwa, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionesha kuongoza kwenye vituo vingi Wilayani Nyamagana.
Aidha, licha ya baadhi ya Mitaa Wilayani Nyamagana na kushuhudiwa Wagombea wa CCM wakitangazwa kuongozwa Kwa...
Kamati ya kuchunguza majengo/ Maghorofa Kariakoo imetangazwa leo hadharani.
Wajumbe wote watakohusika katika kamati wamewekwa hadharani leo na Waziri Mkuu, hii inaweza kuwa kosa kubwa la kiufundi kwa sababu wenye majengo watakuwa wamepata fursa ya kuwajua wakaguzi na kujipanga mapema.
Katika...
Mapema mwezi Juni Yanga walifanya Mkutano Mkuu na hapo ndipo walimtangaza Miguel Ángel Gamondi kuwa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja na kutokana na mafanikio yake na Wananchi ya msimu wa 2023/24 basi walikuja na msemo wa "TABU IKO PALE PALE" kutokana kuwatesa sana Watani zao Simba SC.
Soma...
Dalili hizo ni pamoja na:-
1. Riba kuongezeka sana.
Hivi sasa mikopo ya kausha damu iko kila mahala, mpk mitandaoni.
2. Wanaume kuoana wenyewe kwa wenyewe. Mashoga yapo kila mahala duniani kote, na ndoa zishaanza kufungiwa.
3. Wanawake kuunganisha nywele zao na zile za bandia, ili zionekane...
Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana.
Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini kuwa bado wananchi wana mawazo ya enzi za mwalimu,ameachwa sana na wakati.
Haendani na kasi ya...
Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki.
Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ismail Kartal ikiwa na maana itakuwa ni ajira yake ya 11 kwenye ukocha.
Timu hiyo imemaiza msimu...
Habari za asubuhi wanaJF wenzangu?
Ndugu zangu... kama ilivyo ada, mimi huwa sipendi kuficha ficha mambo haswa yanayohusiana na maslahi ya taifa letu, hata kama mambo hayo kuna watu yatawagusa na kuwaumiza au kuua mipango yao, hiyo ni shauri yao, kikubwa mimi nafikisha ujumbe ili kila mtu...
MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA.
Leo 17:30hrs 15/03/2024
Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
Matokeo ya uchaguzi wa urais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanatarajiwa kutangazwa kesho kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tume ya uchaguzi, huku ushindi ukitarajiwa kwa Rais aliye madarakani Felix Tshisekedi.
Takriban watu milioni 44 walijiandikisha kupiga kura Desemba 20 katika uchaguzi...
Haya wale tuliompenda Kipindi cha nyuma na Kumpa yale Magunia yetu ya Mchele, Viazi na Sukari pale Temeke tafadhali tuanze Kuviandaa tena kwani anarejea rasmi Nyumbani.
Yaani huku kuna Mpaka Ukome, kule kuna Maksi za Darasani, hapa jirani ( kati ) kuna Ufunguo unaofungua Kokote na kule mbali...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.