App ya kutangaza kazi na kutoa huduma

App ya kutangaza kazi na kutoa huduma

D4wn

New Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
1
Reaction score
7
Nimezaliwa na kukulia Tanzania, lakini kwa sasa ninasoma Computer Science huku Marekani. Nimekuwa nikijifunza mambo ya software development kwa muda, na baada ya kufanya majaribio kadhaa, niliona nianzishe kitu ambacho kinaweza kusaidia nyumbani.

App ninayoileta inaitwa Nuru. Ni jukwaa linalowawezesha watu kutafuta kazi za muda (freelance), au kutafuta watu wa kuwaajiri kwa kazi mbalimbali—iwe ni kufundisha, kusaidia na miradi, kazi za mikono, huduma za kidigitali, na zingine.

App bado iko kwenye hatua za mwanzo. Haijakamilika kwa asilimia 100, na kwa sasa inapatikana tu kwenye Android. Version ya iPhone inakuja baadaye. Sina timu kubwa, sina ufadhili, ila nina nia na nguvu ya kufanya hiki kitu kikue polepole.

Sitarajii kila mtu aipende au aitumie mara moja, lakini ningependa sana kama ungeitazama, ujaribu kuisajili, na ikiwezekana usambaze kwa wengine. Hata maoni tu, nitayathamini sana.

Asante kwa kuchukua muda kusoma.
 
Haiewezekani na hautotoboa.

Hiyo statement ni either ikumotivate au ikuvunje moyo kabisa,chagua moja
 
Nimezaliwa na kukulia Tanzania, lakini kwa sasa ninasoma Computer Science huku Marekani. Nimekuwa nikijifunza mambo ya software development kwa muda, na baada ya kufanya majaribio kadhaa, niliona nianzishe kitu ambacho kinaweza kusaidia nyumbani.

App ninayoileta inaitwa Nuru. Ni jukwaa linalowawezesha watu kutafuta kazi za muda (freelance), au kutafuta watu wa kuwaajiri kwa kazi mbalimbali—iwe ni kufundisha, kusaidia na miradi, kazi za mikono, huduma za kidigitali, na zingine.

App bado iko kwenye hatua za mwanzo. Haijakamilika kwa asilimia 100, na kwa sasa inapatikana tu kwenye Android. Version ya iPhone inakuja baadaye. Sina timu kubwa, sina ufadhili, ila nina nia na nguvu ya kufanya hiki kitu kikue polepole.

Sitarajii kila mtu aipende au aitumie mara moja, lakini ningependa sana kama ungeitazama, ujaribu kuisajili, na ikiwezekana usambaze kwa wengine. Hata maoni tu, nitayathamini sana.

Asante kwa kuchukua muda kusoma.
Kazi nzuri. Ukitoa hiyo version nyingine tafadhali nifahamishe niweze kuipitia nikupe maoni, asante.
 
Lots of companies hire people who don’t have the qualifications for the job.

There’s often a training period for new hires, even for people who know the field.

It’s about getting you ready for THEIR world.

Never doubt. It’s a numbers game.
 
Back
Top Bottom