Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo katika jitihada za kuvunja rekodi ya awali ya saa 117 iliyowekwa mwaka jana katika kijiji cha mapumziko...