kusomea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Library ya kusomea

    Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
  2. M

    Kuna utofauti wa kusomea degree ya Biashara vyuo vya Tanzania na Ulaya kwa mtu ambaye hana msingi wa biashara?

    Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz. Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini. kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
  3. kekule benzene

    INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

    Habarini wadau
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kaka alizinguana na mzee baada ya kukataa kusomea ualimu

    Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu. Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa. Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
  5. N

    Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

    Vyuo hivi havitapokeo maombi ya kozi zifuatazo kwa mujibu wa Tume ya vyuo vikuu (TCU) SAUT Mwanza Bachelor of Laws Bachelor of Arts in Sociology Bachelor of Philosophy with Education Bachelor in Tourism and Hospitality Management UDOM Bachelor of Education in Science with ICT Bachelor of...
  6. dogman360

    Bora kusomea Degree nyumbani Tanzania halafu Masters Nje kama una uwezo?

    .
  7. Waufukweni

    Serikali yaelekeza Wanafunzi pia wasomee nyumbani kwa Januari 27 na 28, 2025

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
  8. W

    Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  9. Zanzibar-ASP

    Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  10. PureView zeiss

    Afghanistan yapiga marufuku wanawake kusomea ukunga

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...
  11. Yoda

    Sheikh akataa kusomea dua waumini wenye sadaka kidogo!

    Huyu sheikh anasema dua inatumia nguvu kubwa hivyo inahitaji muumini wa dini kuweka pesa nzuri kupata dua nzuri
  12. S

    Kuna miaka itafika, kutakuwa na vyuo vya watu kusomea ujinga ili wafanikiwe (foolish skill and management)

    Kwa hali ninavyona mimi! Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi! Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada kiuchumi! Elimu yetu itakwenda kuongeza utapeli mwingi kwa watu Elimu yetu inakwenda kuwafungia watu...
  13. maelekezo

    Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  14. thegreat1510

    Kama umefaulu vizuri PCB kasomee Radiology au Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Wakuu kwema Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
  15. OMOYOGWANE

    Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  16. G

    Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

    Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
  17. BICHWA KOMWE -

    Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

    Unamkuta mtu anajiita daktari, au nesi, au mwalimu, lakini hana umahiri wa kazi yake. Hajui anachokifanya wala hana hamasa katika kazi yake. Anasubiri kutafuna mshahara na kuchati WhatsApp huku watu wakimngojea. Unawezaje ukawa mwalimu na usijue kuandika? Nimepokea barua na ripoti ya matokeo...
  18. ndege JOHN

    Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

    Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa. Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
  19. U

    Kijana wangu anapenda kusomea aircraft engineering au Urubani

    Hello wanachama wenzangu habari za leo, Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi ni ngumu kupata kazi kwa sababu za kiusalama, naomba kujuzwa je, ni kweli ajira ni tatizo hapa kwetu...
  20. M

    Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

    Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi kwangu kusomea (haijalishi kipo advance au college) Naombeni ushauri katika hilo
Back
Top Bottom