kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya wasiwasi ya washirika wa Marekani yaendelea kutanda

    Korea Kusini inamtuma waziri wake wa mambo ya nje kwenda Marekani katika juhudi za kuzuia hali ya kutoridhika inayozidi kuongezeka kufuatia msako wa uhamiaji kwenye kiwanda huko Georgia, isiendelee kuwa mgogoro mkubwa unaoweza kudhuru kwa muda mrefu uhusiano kati yake na mshirika wake muhimu...
  2. Ndolezi Petro

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbio za Ubunge Kigoma Kusini 2025

    Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025. Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari tuliyoitembea pamoja tangu mwaka 2020 baada ya uchaguzi Mkuu. Tumekuwa bega kwa bega katika kujenga chama...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Uhalifu wa kupangwa Afrika Mashariki na Kusini

    Ripoti kutoka Global Initiative inaonyesha kuwa Afrika Mashariki na Kusini ni eneo muhimu kwa uhalifu uliopangwa.( Organized Crime) Afrika Mashariki na Kusini inachukuliwa kuwa sehemu kuu ya uhalifu uliopangwa, unaounganisha masoko ya kikanda ya uhalifu na mitandao ya kimataifa. Hii...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna nchi Afrika inaizidi Afrika ya kusini kwa wadada wenye makalio makubwa.

    https://youtube.com/shorts/ZE6JoCrTnxA?si=909EeGhifyHrywRl
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Malema ajiunga kwenye vuguvugu la kufukuza wageni Afrika Kusini

    Mwanasiasa mtata wa Afrika Kusini, ambaye siku zote alikua anatetea umoja wa Afrika, abadilisha gia angani na kusema kila mtu kwao. Japo kiukweli huwa siwaelewi mnaokwenda kwenye nchi za watu na kuzaliana huko, inapaswa kila mtu ajue siku raslimali zikipungua, wajukuu na vitukuu kwenye nchi yao...
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Watu wa kusini( Lindi na Mtwara) ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima

    Ndiyo huo uhalisia watu wa kusini hasa hasa Lindi na Mtwara ndiyo watu wanaongoza kuwa na akili Tanzania mzima yaani hawa watu wa kusini ndiyo gamer changer Tanzania mzima tu ila ndiyo hii nchi watu wanakaza mafuvu tu kutokana na ubinafsi wao wewe mtu kama Mkapa ona baada ya kukabidhiwa nchi tu...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Majadiliano: Wapalestina kupelekwa Sudan Kusini

    Ikiwa ni kweli; Je, viongozi wa Sudan Kusini watajifunza kutokana na historia au watatanguliza njaa zao? Kipindi kile Janjaweed wanawaua Wasudan weusi, wanahistoria wakasema kuwa, Wasudan weusi ndiyo walikuwa wenyeji wa Sudan na ndiyo waliwakaribisha Waarabu lakini mwisho wa siku Waarabu wakawa...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kusini mwa Jangwa la Sahara

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji kwenye viwanda vya kutengeneza bidhaa za migodini na utoaji wa huduma kwenye migodi ya ndani na nje ya nchi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa zamani wa Korea Kusini akamatwa kwa madai ya kupokea rushwa na kuingilia Chaguzi

    Mke wa aliyekua rais wa Korea Kusini, Kim Keon Hee, amekamatwa baada ya Agosti 12, 2025 usiku mahakama kutoa hati ya kumtia mbaroni kufuatia tuhuma za ufisadi ambazo yeye amezikanusha, kwa mujibu wa mwendesha mashtaka maalum anayeongoza uchunguzi huo. Soma pia: Mke wa Rais wa zamani Korea...
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mufindi Kusini waomba Uchaguzi wa Kura za Maoni Usogezwe Mbele

    Akizungumza na waandishi wa habari kada wa CCM Salimu Nyomolelo, ameomba uchaguzi wa Wilaya ya Mufindi Kusini usifanyike usogezwe mbele ili uchunguzi ufanyike kwa mwenyekiti na Katibu, ikidaiwa mmoja wa Mgombea wa Jimbo la Mufindi Kusini alitoa Rushwa ya gari kwa Mwenyekiti na Katibu wa Chama...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

    Historia: Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Pinda ahutubia Kongamano la Vyama vya Ukombozi akimwakilisha Rais Samia nchini Afrika Kusini

    Wazuri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mizengo Pinda, amesema ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika unapaswa kudumishwa kwa kuzingatia maadili ya ukombozi, misingi ya haki, usawa wa maendeleo jumuishi kwa wananchi kwa...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  15. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Picha ya satellite ya Korea Kaskazini na Kusini wakati wa usiku (2016)

    The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative. Capitalist South Korea takes up the bottom half of the peninsula, and you can clearly see all the bright...
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa forodha: Trump aweka shinikizo kwa Korea Kusini na Japani

    Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia. Kwa Washington, hii inakusudiwa kuhimiza washirika wake wengine kutia saini mikataba ya biashara...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wagombea Chato Kusini wamwaga mamiilioni kuwania ubunge

    Kumekucha ,kumekucha Huku Chato kusini wagombea wawili matajiri wa dhahabu,wanaonyeshana jeuri ya pesa Wikiend hii alialika watu 500 nyumbani kwake Kata ya Bwanga na kuwalisha nyama kuanzia asubuhi na kugawa bahadha zenye kiasi cha sh 15000 mpaka 500,000 kwa kila aliyehudhuria Baada ya...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas watumia fursa ya vita vya Israel na Iran kuwakimbiza askari wa IDF huko kusini mwa Gaza

    Wapiganaji wa Hamas ambao kwa sasa wanapigana kwa mbinu mbadala baada ya viongozi wao wakuu kuuliwa wameonekana kuja juu katika wiki kadhaa zilizopita na kufanikiwa kuwauwa askari kadhaa wa Israel hasa maeneo ya kusini mwa jimbo la Gaza. Katika matukio ya hivi karibuni ni kuwakimbiza askari wa...
Back
Top Bottom