kusikiliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Sio wote wanaoSIKIA wanaSIKILIZA, wengi wao wanaSIKILIZIA. Tujifunze kusikiliza ni fursa

    Habari wanajamvi na poleni kwa majukumu ya kujitafutia riziki ili kujenga nchi. Nawaombeni msome mwanzo hadi mwisho ili kuweza kunufaika na FURSA hii ya 'kusikiliza'. Nijikite kwenye mada moja kwa moja Sote tunafahamu kazi ya kiungo SIKIO ni kusikia,na ni miongoni mwa 'milango' ya fahamu ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ndoa yavunjika kwa kusikiliza maneno ya mama mkwe, binti aanza kuhaha

    Nachelea kusema ukiona ndoa inaendeshwa na ushauri wa watu toka nje ya ndoa basi hiyo ndoa haina safari ndefu, itakufa kifo cha mende. Kuna rafiki yangu alioa miaka miwili imepita kwa harusi kubwa ya kifahari lakini ndoa yake imevunjika, khaaa!! Kwa ninachoweza kusema ile ndoa imevunjwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako heko kwa kazi unayofanya ya kuitisha mikutano ya kusikiliza kero za wastaafu

    Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao. Kongole sana Profesa...
  4. JamiiForums Tanzania Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi achanja mbuga kusikiliza kero za wananchi na kuhamasisha sensa jimboni

    DKT. SAMIZI ACHANJA MBUGA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NA KUHAMASISHA SENSA JIMBONI. Leo imekuwa mwendelezo wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe Dkt. Florence George Samizi ambaye ametembelea kwenye Stendi ya Halmashauri ya Kibondo na kuhamasisha Sensa ya watu na makazi...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!

    Wanabodi Rais Samia ambaye ni Rais Mwanamke wa Kizanzibari mwenye lugha tamu laini na lafudhi ya Kizanzibari, yenye maneno na vineno, vitamu hadi raha kumsikiliza haku ukitamani asimalize kuzungumza. Leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Rais Samia katamka maneno haya...
  7. JamiiForums Tanzania Tumechoka kusikiliza VIITIKIO, tunataka UBETI kuanzia wa kwanza na kuendelea

    Closed
  8. JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  11. JamiiForums Tanzania Maono ya Papa Francis Katika Sinodi ya Maaskofu Katoliki 2021-2023 ni Kuhusu Umuhimu wa Kukutana, Kusikiliza Na Kung'amua

    Papa Francis, Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, katika mahubiri yake mwanzoni kabisa mwa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu mnamo Oktoba 10 2021, Mjini Roma, Vatican, alikazia mambo makuu matatu mintarafu Liturujia ya Neno la Mungu: Kukutana, Kusikiliza na Kung’amua. Katika Dominika...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

    Habari wakuu. Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga. .Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe...
  13. JamiiForums Tanzania CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

    CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI Songea, Ruvuma 19 Septemba, 2021 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili Mahakama ya Uhujumu aainisha masharti ya kusikiliza kesi ya Mbowe

    16 September 2021 Dar es Salaam, Tanzania Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na kusikiliza kesi inayowakabilu Mbowe na wenzie 3. Marufuku kurekodi kwa kutumia simu Hakuna katazo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

    IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Mustapha Siyani ataanza upya kusikiliza mapingamizi yaliyomfanya Jaji Elinaza kujitoa au anaendeleaje na kesi?

    Upande wa mlalamikaji ulieleza mahakama kwa ushahidi na facts kwamba mashtaka yaliyowasilishwa na Jamuhuri hayapo au hayana nguvu na msingi wa kisheria. Jaji alinaza baada ya kusikiliza pande zote mbili alikubali kuwa hati ya mashtaka ina makosa lakini pamoja na kubaini makosa kwenye hati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi wazuiwa kusikiliza Kesi ya Mbowe, Mageti kuelekea mahakamani yafungwa

    Hivi ndivyo ambavyo polisi wao wameamua kufanya leo kwenye Mahakama ya Ufisadi na rushwa iliyo karibu na Shule ya sheria maeneo ya SIMU2000 Ubungo , ambapo Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo kesi hiyo ya Ugaidi inapaswa kusikilizwa hapo au la.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe bado inadaiwa haijafikishwa katika mahakama yenye uwezo wa kusikiliza kesi ya ugaidi

    Mim si Mwanasheria na sijui sharia na siamini kama sheria inaweza kutenda haki hasa hizi sheria za kigeni tulizorithi kutoka kwa wakoloni. Nilishanga malumbano ya jana mahakamani mimi sikuyaelewa ila nilielewa jambo moja tu kuwa kesi ya mwenyekiti wa taifa Mbowe bado haijapelekwa katika mahakama...
  19. JamiiForums Tanzania Singida: DC Iramba apongeza utengaji wa maeneo ya uwekezaji

    MHE MWENDA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO, APONGEZA UTENGAJI WA MAENEO YA UWEKEZAJI Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameupongeza uongozi wa kata ya Ulemo kwa kutenga maeneo ya uwekezaji. Mhe Mwenda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

    Zimbwela bwana. Amenifanya nimeacha kusikiliza Redio ya Wasafi asubuhi. Huyu jamaa anafanya comedy hata kwenye serious issues, anatengeneza kelele masikioni na kupoteza muda wa wasikilizaji wake akidhani kuwa wasikilizaji wako tayari kusikiliza kila kitu anachosema na kufanya kwenye studio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…