Wakina dada nisaidieni hili, mwenzenu ameona aibu kusema!

Najaf

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,471
2,241
Nina mrembo nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa kipindi fulani. Lakini wakati wakushiriki nae tendo huwa anasema "Nikikaa hivi inachoma choma bwana inachoma". Nikimuuliza unafurahia au unaumia hajibu, anasema we Fanya tu.

Hebu naomba mnisaidie hapo inakua Ina maumivu au Raha maana muda mwingine naona kama anashika maeneo ya karibu na kitovu.
 
Hakuna cha raha hapo chifu.yani iwe raha alafu akwambie we fanya tu..thubutuuuuuuuu....utakuwa unambaka mdada wa watu humuandai vizuri
Mambo mawili yanaweza kuwa ni sababu Kwa nn haenjoy
1.hamwandai vizuri km ulivyosema

2.mwanamke anajichua,so hasikii Radha yoyote akisex na mwanaume

Kama anapata maumivu wakati wa kunanii sababu yaweza kuwa ana uvimbe kwenye ovaries.Ukiondoa staili ya asili(kifo cha mende) staiili zingine anaweza kuwa anasikia maumivu na sababu yaweza kuwa ni hiyo uvimbe

Ampeleke hospital kucheki afya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Lakini wakati wakushiriki nae tendo huwa anasema " nikikaa hivi inachoma choma bwana inachoma ". Nikimuuliza unafurahia au unaumia hajibu,,anasema we Fanya TU.

Sasa mimi nakuambia ukweli jap kuna wajinga wataniona expert.

Hapo ni kwamba nanilii yako ni nyembamba halafu ni ndefu. Huwa zinatoboa toboa hizo kama mwiba. Yaani haziwagi tamu kabisa. Ikiingia tu break kwenye cervix.
 
Kwa hiyo break inatakiwa iishie wapi maana raha ya mgegedo breki pumbuz
 
Sasa mimi nakuambia ukweli jap kuna wajinga wataniona expert.

Hapo ni kwamba nanilii yako ni nyembamba halafu ni ndefu. Huwa zinatoboa toboa hizo kama mwiba. Yaani haziwagi tamu kabisa. Ikiingia tu break kwenye cervix.
Ila mbona anatoa utamu wote na bado namuona kama mtu ambaye yupo comfortable!!!

Ila muda mwingine huwa anapiga kiukelele anasema Kash***k*joa.
 
Ana kuboost confidence yako tu ujione una mtalimbo mrefu kwa kushika karibu na kitovu, kukuaminisha imefika mpaka huko. Hapo kidume unapiga tako za nje ndani kama vile unakimbia marathon na jasho juu kimoyo moyo ukijisifu umemchoma mpaka kitovuni.
Lakini yote ni heri mkimaliza mmeridhika nafsi zenu.
 
Sasa ikiwa nene, hata break ikiwa pumbuz huwa haichomi chomi. Ila ikiwa nyembamba sasaulishawahi kuingiza toothpick puani? Na ukiingiza kidole puani? Umeona tofauti?
DuH kuingiza toothpick puani tena jama kisa? Umeeleweka lakini. So hapa inayohitajika ni mitulinga ya migegedo
 
Ila mbona anatoa utamu wote na bado namuona kama mtu ambaye yupo comfortable!!!

Ila muda mwingine huwa anapiga kiukelele anasema Kash***k*joa.

Hizo kelele zisikupe kichwa. Wakati mwingine sio genuine, huwa tunazipiga ili ziwachanganye mmwage mtuache tupumzike.

Na hapo kusema keshakojoa pia usimuamini Itakuwa wewe ni aina ya wale wanaume wa "nataka uridhike kwanza bebe" inabidi akuambie tayari keshakojoa.
 
Aisee sipo hivyo,,,Yani siwezi sema sana ila nikisimamia ukucha,,Huwa nakomaa kweli!!!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom