CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
445
1,140
Wakuu,

Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho.

Kazi kwelikweli!

===

Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo huo hata kama yeye hajafika.




IMG_20240831_220948_645.jpg

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Kikao cha Kamati Kuu Maalum kilichokuwa kifanyike tarehe 02 Septemba 2024, sasa kitafanyika tarehe 01 Septemba 2024, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Aidha, kikao hicho kimetanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa leo tarehe 31 AAgost 2024, jijini Dar es Salaam, kinachoendelea kufanya maandalizi kwa ajili ya Kamati Kuu Maalum kesho.
 
Back
Top Bottom