Indotyphlops braminus, commonly known as the brahminy blind snake and other names, is a nonvenomous blind snake species found mostly in Africa and Asia, but has been introduced in many other parts of the world. They are completely fossorial (i.e., burrowing) animals, with habits and appearance similar to earthworms, for which they are often mistaken, although close examination reveals tiny scales rather than the annular segments characteristic of true earthworms. The species is parthenogenetic and all known specimens have been female. The specific name is a Latinized form of the word Brahmin. No subspecies are currently recognized.
Cuba ilitumbukia gizani kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja Jumamosi, Machi 21, baada ya mtandao wake wa kitaifa wa nishati kushindwa tena, ukiwa umeathiriwa na miundomsingi iliyozeeka na kizuizi cha mafuta kilichowekwa na Marekani.
Usiku ulipoingia, mitaa ya Havana mara nyingi...
Nikiacha kazi mwaka 2015 kutokana na sababu za kiafya na nikapokea mpaka mafao yangu ya PSPF.
Lakini sasa nimekuwa fit na naweza kufanya kazi kama kawaida.
Nilijaribu kuandika barua utumishi kuomba kurudi maana nilikuwa nikiomba kazi naambiwa nina check namba hivyo siwezi ajiriwa na mimi...
Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi?
Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
Hamna haja ya kuwa vuguvugu
Mimi ni mtu wa bara lakini nakusapoti harakati zako.
Toa Mwigulu WEKA MZANZIBAR
Toa Padre IMMA WEKA MZENJI
Hakikisha unaisuka timu yako ambayo itabadlisha Katiba isiwe na ukomo wa kugombea, kama unahitaji tena unagombea isiwe ukomo miaka 10, nguvu hiyo unayo maana...
Sasa bila ya VPN unaweza kuipata ndani ya Tanzania. Angalu sasa ile washa na kuzima VPN ilikuwa inakera, mara uwashe kuingia JF mara uzime kuacess mobile app na app za kibenki.
Updates
Naona mtandao umezuiliwa tena, mamlaka bado hazisomami.
Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI.
Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI.
TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
Sababu za uchumi kurudi nyuma: Mfumo wa siasa na Ufisadi. Mfumo wa siasa mbaya unapunguza wawekezaji wa muda mrefu maana mfumo huu unaleta mapingano mengi ya kisiasa, utekaji na kikundi maalumu cha mtandao ambao wenyewe tu ndiye wanaonufaika.
Sababu ya pili ni ufisafi mkubwa mipangilio ya nchi...
Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
Bila kupoteza muda mm ni kijana mwenye umri tajwa hapo juu mwenye mke na mtoto mmoja, nawaza kuamua kutatua mgongano WA ki fikra juu yangu binafsi Kwa kuamua Moja, kurudi darasani.
Nilipata four ya 27 mwaka 2015, Sasa nataka nikaitafute elimu ya juu zaid kwakutudia mtihani na kuendelea mbele...
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea.
tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !!
Tunaingia stage mpya...
Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa chama hicho tawala wasahau suala la yeye kurejea kutokana na kile alichodai kuwa chama hicho...
Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company.
Hii ni...
Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi,
Rich msafi amebaki kama msindikizaji
Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge:
1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu.
2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa...
WanaJF,
Naomba leo kuweka hili jambo hapa. Wizara inayohusika na mazingira wanakaa kimya kuhusu uchafuzi wa mazingira hasa mitaa ya miji.
Plastiki laini hata ambazo zilikatazwa na Waziri zimerudi kwa kasi mtaani. Mbona waziri mhusika au idara husika haichukui hatua yoyote?
Au wanasubiri mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.