Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
Kama kichwa Cha habari kinavyosema,...ntawashangaa Sana wafanyakazi watakaowapigia kura hawa viongozi wanaoendelea kuwakandamiza kwa kupigia debe ulipaji kwa njia ya kikotoo ambAcho Ni kandamizi kwa wastaafuuu..
Ndalichako nakuheshimu Sana..ila kwa hoja yako bungeni ambayo inawakandamiza...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa ya watanzania.
Hatua ya wabunge hao inakuja baada ya Spika kuzima ajenda za wananchi ambapo baadhi...
Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM.
CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa.
Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama?
Serikali imesema katika mwaka 2023/2024, shughuli za maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 pamoja na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka 2024 zitaendelea.
“Kazi zitakazofanyika ni pamoja na kulifanyia maboresho Daftari la Kudumu la Wapiga Kura; kuboresha mifumo ya menejimenti...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bosi mpya wa mtandao huo, #ElonMusk, kuanzia Aprili 15, 2023 huduma hizo zitakuwa maalumu tu kwa watumiaji wa #TwitterBlue ambayo hulipiwa kwa Tsh. 16,380 kwa mwezi.
Watumiaji wasiolipia hawatokutana tena na Mtiririko wa Tweets maalumu zinazopendekezwa kwa...
"Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga.
Chanzo: Nipashe ya Radio One leo
Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe...
Upigaji kura wa mchezaji wa wiki bado unaendelea na yamebaki masaa kama 6 hivi. Mwisho wa kupiga kura ni saa 12 jioni. Gap kati ya Chama na Kahraba ni asilimia 4 tu sasa.
Kupiga kura ni rahisi sana usisubiri wala kutegea wengine wafanye. Download App ya Twitter kama hauna. Jisajili Twitter kama...
https://www.worldtravelawards.com/nominees/2023/africa
https://www.worldtravelawards.com/award-africas-leading-tourist-attraction-2023
Vilipo katika kinyanganyiro ni:
Mlima Kilimanjaro
Mbuga ya Ngorongoro Crater
na Uwanja wa Ndege wa Julius Kambarage Nyerere - Dar es Salaam
Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli.
Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
Hello!
Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana.
Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?
Nyie wafuasi wa CHADEMA...
Nadhani inabidi kuirejea hii ajenda ya katiba mpya, ni kweli wananchi wanaitaka au ni wanasiasa ndio wanaitaka?
Kenya Wana katiba mpya, lakini bei za bidhaa ziko juu mpaka Leo Erick Omondi kaandamana Bungeni na akapigwa mabomu na kukamatwa. Na sisi wa katiba ya zamani bei ziko juu.
Tozo ziko...
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze, nimepiga kura yangu kumchagua Rais kama ifuatavyo:
1. 1995 - Kura ya Rais - Agustine Lyatonga Mrema (NCCR Mageuzi). Mbunge pia nilimpa wa NCCR
2. 2000 - Rais - Prof Lipumba (CUF) - Mbunge - Freeman Mbowe (CHADEMA0
3. 2005 - Rais - Freeman Mbowe - Mbunge kura...
Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo!
Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli
Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine...
Tunakoelekea, ni Mungu tu aepushie mbali! Haitafahamika ikiwa watanzania tutakuwa tunaishi kwenye nchi yetu wenyewe ama ni ugenini! Mungu saidia
Na ikitokea kura zinapigwa kesho, wenye kumpa kura kwa sasa ni hao walamba asali tu!
Ni vigumu sana kukubaliana na ukweli huu!
Na bahati mbaya...
Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili
1) KATAA NDOA
2)KUBALI NDOA
Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu
"Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi"
Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR Kaandika uzi huu
"Malezi...
Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi.
Kila ninapokumbuka...
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.