kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

    Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa! Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini! Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Wajumbe wa NEC-CCM waliopata kura zaidi ya 269 ni hazina kwa CCM kuelekea 2025, wateuliwe

    Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako. Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni watu ambao wanaweza kukitumikia chama na serikali yako. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, watu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wakulima waapa kumpigania na kumuunga mkono Rais Samia na CCM

    Ndugu zangu hiyo ndio kauli ya wakulima. Ndio kauli ya pamoja, Ndio msimamo wa wakulima, Ndio uamuzi wa wakulima, Ndio Hitimisho la wakulima. Wakulima wanasema na kuapa kuwa watamuunga mkono Rais Samia katika uongozi wake wa kuendesha serikali yake ya CCM, wameapa kumpa ushirikiano wa kutosha...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais aliyetawala muda mrefu zaidi duniani anapigiwa kura tena leo

    Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema. Raia 425,000 wanapiga Kura katika Taifa hilo lenye watu 1,512,450. Obiang anachuana na Buenaventura...
  6. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Nimepiga kura Trump arudishwe Twitter

    Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah. Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo kura nyingi sauti ya mungu. Binafsi nimepiga kura Trump arudishwe Twitter.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

    Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa. Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

    Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi. Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake. ========= Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Matumaini yamepotea. Hadi sasa sioni wa kuipigia Kura CCM 2025

    Wanajavi hali si hali Kila mtu haamini kinachoendelea. Gharama za maisha ziko juu kuliko wakati wowote ule, watu wanatafuna hela za serikali bila huruma.. Hakuna mradi unaoeleweka, president akiongea ni porojo tu Hana maneno yenye mashiko. Wafanyabiashara wanatia huruma umeme hamna, ukipita...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kura za Urais Tanzania kuanzia mwaka 1995-2020, upinzani na chama tawala

    Tangu kuanza kwa mfumo vyama vingi Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1990, mchakato wa kutafita Rais umekuwa ukifanyika tangu Mwaka 1995 na unaendelea kila baada ya miaka mitano. Tujikumbushe hali ilivyokuwa kwa chama kilichoshinda dhidi ya kura za jumla za wapinzani katika kiwango cha wastani...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Rais Putin anaposema yuko tayari kuachia baadhi ya maeneo, kwani kura alikuwa anapiga ya nini?

    Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea. Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana yanaendelea kushushwa Ukraine ya kukinga dhidi ya hayo mabomu. Amekusanya wanywa gongo wenyewe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

    Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali. Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

    Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania. Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari mkipata nafasi ya kufanya mahojiano na rais/mstaafu muulize tuhuma za wizi wa kura

    Juzi baadhi ya wanahari walipata fursa ya kuhojiana mstaafu Kikwete wakati wa birthday yake. Kama ilivyo kawaida ya waandishi wetu walishindwa kumuuliza maswali magumu. Maswali mengi yalikuwa ya kiudaku. Angeombwa atoe maoni yake juu ya tuhuma za wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali. Bila...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

    Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72. Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya. Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba. Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana hali mbaya kuelekea 2025, Wana-CCM wanatamani wapinzani wapewe nchi. Anaweza asipate hata 30% ya kura

    Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo. Kwanini hali hii? 1. Mama kulinganishwa na Mwendazake Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM wametoa wapi vifaa vya NEC vya kupigia Kura?

    Salaam Wakuu, Sasa nimeanza kuelewa Usemi wa Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa CHADEMA) aliposema Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ni Tawi la Chama cha Mapinduzi. Hivi sasa CCM inafanya uchaguzi wa ndani nafasi mbalimbali. Nimeshangaa kuona wanatumia Karatasi na Masanduku ya kupigia kura ya NEC...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi Warusi waukimbia mji ambao walikuwa wamejitwalia kwa "kura" za maoni

    Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia... Sijui mgambo wanywa gongo watafanya nini tofauti na hawa wanajeshi wanaokimbia mapambano. Russia has withdrawn troops from the...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambia hamna cha kura wala nini, wanajeshi wa Urusi wazingirwa Lyman

    Hizo sideshows za kura sijui referendum wala nini hatuna muda navyo, ngoma ni ile ile, inaishia Crimea, mlete wanywa gongo watafyekwa tu KYIV — Less than 24 hours after Russian President Vladimir Putin proudly proclaimed the illegal annexation of Ukraine’s Donetsk region, thousands of his...
Back
Top Bottom