kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mariam Ibrahim Awashukuru Madiwani wa Pwani kwa Kura za Kishindo

    Na Mwandishi Wetu. MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim amemshuru Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa , Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kupendekeza jina lake na Kamati Kuu ya chama hicho kulipitisha na hatimaye kushinda kwa kura nyingi. Ametoa shukrani hizo kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Stories of change 2026; piga kura yako hapa

    Usuli Shindano la stories of change lilianzishwa na JamiiForums mnamo mwaka wa 2021 na kufanyika mfululizo kila mwaka hadi mwaka 2024. Katika hali isiyotarajiwa na wanachama wote wa JF, mwaka wa 2025 shindano hili halikufanyika kabisa. Kama mnavyofahamu, shindano hili hufuatiwa na uchambuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  4. R

    JamiiForums Tanzania Kambarage Wasira akiomba kura kwa wabunge kumchagua kuwakilisha katika Bunge la EALA

    Kambarage Masatu Wasira akiomba kupigiwa kura za ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo Mei 4, 2026 Bungeni Dodoma
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Kulikuwa na mfumo 'kompyuta mpakato' wa kuchukua Takwimu za kura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, Akifanya Mahojiano na BBC Aprili 24, 2026
  6. JamiiForums Tanzania Malalamiko Katika Kura za Maoni kwenye Uchaguzi Mdogo Jimbo la Isimani, Iringa

    Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika kura za maoni za uteuzi wa Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) wameibuka na malalamiko wakidai kutoridhishwa na mchakato uliotumika kuwashindanisha wagombea hao. Wajumbe hao wamesema kuwa kuna viashiria vinavyoibua wasiwasi juu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei aongoza kura za maoni matokeo ya awali kumrithi Lukuvi. Awatupa wenzake mbali kama mshale

    Ndugu zangu Watanzania , Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura. Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
  8. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama MwanaCHADEMA Kanda ya Pwani. Nitapiga kampeni Halima Mdee arejeshwe. Tuanze na Kura humu mtandaoni

    Hehee! Kumekucha na Makucha yake. Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake. Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge la Kura Tatu

    1958-9 Tanganyika Legislative Council. There were 10 constituencies. Voters voted for an African, Asian and European candidate in each constituency. Front row from right : Shyam Thanki (Southern - Asian - Lindi), Rashid Kawawa (Dar es Salaam - African), Julius Nyerere (Eastern Province -...
  11. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge hawakupigiwa kura

    Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo. Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  15. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Wana bahati wafuasi wetu hawakupiga kura wote, vinginevyo kusingekuwepo na Upinzania Uganda

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amejitetea juu ya ushindi wake katika uchaguzi wa urais, akisema kuwa ushindi wa asilimia 72 si ule aliyotarajia. Amefafanua kwamba chama chake kina wanachama zaidi ya milioni 21, kati ya hao milioni 18 wakiwa wapiga kura waliyojisajili, na kama wote wangepiga...
  16. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine apiga kura

    Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie. Bobi Wine wa chama cha NUP anakabiliana na rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Shughuli za Upigaji kura zachelewa Uganda

    Shughuli za upigaji kura zimechelewa kuanza katika maeneo mengi nchini Uganda. Awali ilitarajiwa kuwa vituo vingefunguliwa saa moja asubuhi, lakini kufikia saa mbili na nusu asubuhi, wapiga kura walikuwa bado hawajaanza kupiga kura. Zaidi ya raia milioni 21 wanatazamiwa kushiriki uchaguzi wa leo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Myanmar kuendelea kupiga kura katika uchaguzi uliotawaliwa na Jeshi

    Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
  19. U

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt Richard Mbunda: Takwimu za Matokeo ya uchaguzi wa 29/10 haziendani na takwimu za wapiga kura. Wahusika (INEC) wa kutengeneza uongo hawakuwa makini

    https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ Tutaelewana tu Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura... Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan wa CCM sawa na karibu nusu ya Watanzania Cha ajabu, huyu mshindi wa 98% anaogopa 2% ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…