Je,, ni kweli IGP anaumwa?
Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi?
Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Maiga amelazwa katika mapumziko aliyolazimishwa na daktari baada ya kuelezwa kufanya kazi kwa miezi 14 bila kupumzika.
Ofisi ya Waziri huyo imesema atarejea katika majukumu yake wiki ijayo, awali taarifa zilisambaa kuwa amelazwa baada ya kuugua kiharusi.
Serikali...
Tangu aapishwe sijui kama kapumzika.
Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha.
Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar.
Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito....
Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar,
Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha....
Majuzi Rais...
Kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha, watu wengi hawapati muda wa kutosha wa kupumzika. Mara nyingi mtu anapozidiwa hupunguza zaidi muda wa kupumzika ili akamilishe majukumu yake. Ikiwa unataka kuboresha utendaji wako wa kazi pamoja na afya yako, fahamu faida 10 za kupumzika.
1. Huongeza...
Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki?
Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu sahihi haikuwa kuchunguza kimyakimya na kwa siri?
Alafu bila aibu anasema eti amejifunza Rwanda! Kitu...
Habari wakuu,
Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari, unaota ndugu yako kafariki, unaota umekuwa Raisi wa JMT ili hali hujawahi kuwa hata barozi wa nyumba...
Wataalamu mpo? Kwema?
Niliwamisi sana.
Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka akapendekeza twende kwake nikapumzike kwanza then ndio niende home kwangu kwakua kwake sio mbali na hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.