kupumzika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    PostGE2025 Katika imani za kihindi, wale marehemu wa MO29, hawawezi kupumzika kwa amani ilihali mmewasaliti, Nafasi zao zitawahunt miaka yote

    Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa haujamaliza kazi fulani basi huwa wanazaliwa kama wanyama na nafsi zao kuhaunt wale waliokuwa wameungana...
  2. Binti wa zamani

    Nimejichokea leo, nipeni mbinu mpya za kupumzika

    Siku ya leo imekua ngumu, ina uchovu na makasiriko kama yote. Shemeji yenu jina lake limekatwa huko so ameenda kujipooza 🍺 na wajumbe wenzake. Hebu nifundisheni mbinu mpya za kupumzisha akili na mwili, maana usingizi umegoma.
  3. Equation x

    Maana halisi ya kustaafu ni kupumzika, na sio kubadili kazi moja kwenda kwenye kazi nyingine

    Nakaribia kustaafu hapa jf kutokana na uzee wangu wa miaka 89 niliyonayo. Mafao nitakayopata, nitayatumia katika uwekezaji wa shamba langu huko kijijini. Shamba langu litakuwa na mpangilio kama huu. Pia nitajenga kakibanda changu kadogo cha kupumzikia, pale nitakapohitaji kutafuta usingizi...
  4. N

    Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  5. S

    Hili la waziri mkuu kupumzika halikupaswa hata kuwa mjadala; Waandishi tafteni mambo ya msingi ya kujadili acheni kupiga ramli

    Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji! Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi! Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala hazitusaidii sana! Tunayotaka mtueleze hamsemi; Yasiyo na maana ndiyo mnatufikishia. Kauli ya waziri...
  6. technically

    Samia anatakiwa kupumzika it's over!

    Nashauri Samia apumzike apishe wengine wafanye kazi Pia watu wake wa karibu wote WANATAKIWA kupumzika Asipokubali atatoka kwa aibu Ni ushauri anaweza kuuchukua au kuuacha ila aongee na nafsi yake pia aongee na Mungu wake Asije kusema atukumwambia Samia anayekwambia ukweli anakupenda Sana ...
  7. DuaZaMama

    GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010. Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
  8. N

    Hans Pope endelea kupumzika kwa amani, Simba ya Mangungu inaendelea kutudhalilisha

    Hakuna umafia wa aina yoyote kwenye mpira ambao Marehemu Hans Pope hakuwahi kuufanya. Kuanzia Usajili,fitina za ubingwa na kucheza dabi.Jamaa alijitoa sana kwa mali zake na muda wake hakutaka masihara Simba.... Kuna taarifa za uhakika kuwa kifo chake kuna timu moja ilifurahia sana... Kwasasa...
  9. Roving Journalist

    DC Songea: Mwanafunzi amechoma moto Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama ili ifungwe apate nafasi ya kupumzika

    Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna hujuma, Serikali imeelezea juu ya tukio hilo... Kusoma andiko la kwanza bofya hapa ~ Baadhi ya...
  10. K

    Raisi wa Finland kaja kupumzika tu

    Raisi wa Finland kaja kupumzika tu ! Kwa hali ya sasa anashidwa hata kutoa misaada maana bunge lake hataweza kukubali kwa hali mbaya ya kisasa tulio nayo kwa sasa. Hivyo kwasababu alikuwa balozi wa Tanzania ni kama kaja kupumzika tu hakuna mradi wowote wa maana, msaada wowote kwasbabu wa hali...
  11. Damian Wayne

    Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  12. Binti wa zamani

    Karibu tupumzike pamoja baada ya kazi

    Nimechoka na nimeboreka, niambie kimoja kati ya hivi vitano; Kitu gani cha ajabu mwanaume au mwanamke ameshawahi kukuomba? Umeshawahi kuvunja urafiki, nini kilitokea? Umetumia hela yako kununua kitu gani cha kijinga ila unakifurahia? Ulifanya nini mpaka ukaachwa au kumuacha mpenzi wako? Ndoto...
  13. fimboyaukwaju

    Nipo Bunda kupumzika

    Nipo Bunda kupumzika kwa wiki nzima.Pia nitakuwa nawatembelea baadhi ya rafiki zangu ambao wamestaafu kama mimi na wanaishi mbali kidogo na mji huu.
  14. L

    PreGE2025 Stephen Wasira atua kibabe na Ndege ya kibabe Mkoani Songwe. Kuwasha moto kwa siku tatu mfululizo bila kupumzika

    Ndugu zangu Watanzania, Chuma cha Reli, Mwamba Mwenyewe ,Nguli wa Siasa na Jabali la siasa Stephen Wasira Makamu Mwenyeki wa CCM Taifa Ametua kibabe kwelikweli katika uwanja wa ndege wa Songwe . kwa ajili ya kuanza ziara katika mkoa wa Songwe. Ambako anatarajiwa kuwasha Moto 🔥 mkali kwelikweli...
  15. sergio 5

    PreGE2025 CCM mmefanya makubwa nchi, mnatakiwa kupumzika

    Nimekuja Tena kama mwananchi wa kawaida kuipongeza CCM kwa makubwa iliyoyafanya nchi ila ni mda wao wapumzike WAKAE pembeni wajipange upya Waruhusu uhuru wa demokrasia, vijana wasitekwe na kuuwawa kisa madaraka wafanye free and fair election washindwe WAKAE pembeni sio dhambi wakiendelea...
  16. mike2k

    Kwanini Mbowe anapaswa kupumzikka?

    Mfumo wa uongozi wa muda mrefu wa Freeman Mbowe kama Mwenyekiti wa CHADEMA unaweza kueleweka kwa kuangalia madhara ya kukaa katika cheo cha juu cha chama muda mrefu: Kama Mbowe angaliachia madaraka baada ya muhula wake wa kwanza, angekumbukwa kama mtu aliye na maono ambaye kazi yake...
  17. U

    News alert Pamoja na kutakiwa kupumzika na madaktari baada ya upasuaji tezi dume Netanyau atahudhuria uapisho wa trump 20/1/2025 Washington DC

    Wadau hamjamboni nyote? Mwamba amedai Oktoba 20 atakuwepo Washington DC kushuhudia mwamba mwenzake Donald Trump akila kiapo kuongoza taifa kubwa zaidi duniani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: January 1, 2025 Netanyahu still planning to attend Trump’s inauguration, despite surgery By...
  18. Singasinga

    Trump kushinda labda warmongers wa USA waamue kupumzika

    Habari wakuu. Kuelekea uchaguzi wa Marekani kuna kitu nimejaribu kuwaza, Sote tunazijua sera za Trump sio mtu wa kupenda mavurugu vurugu ndito maana hata uchaguzi uliopita alishinda ile deep state ilimkataa baada ya kuona sera zake sio rafiki kwa biashara kubwa za nchi ile ikiwemo millitary...
  19. Allen Kilewella

    Serikali ihakikishe madereva wanaoendesha mabasi usiku wanapata muda wa kutosha kupumzika.

    Sera zinazosimamia masuala ya usalama barabarani zimeweka Sheria na kanuni za kufuatwa. Uendeshaji magari ya abiria una Sheria na kanuni zake. Mojawapo ni dereva wa Magari ya abiria anatakiwa awe na utimamu wa mwili na akili wakati wote aendeshapo magari. Nilikuwa naongea na dereva mmoja wa...
  20. Yoda

    Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

    Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
Back
Top Bottom