kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

    Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa. Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama...
  2. G

    Haya ni matukio yanayoongoza kupoteza furaha na amani ya watu, Endelea kuyasikiaga tu yasije kukupata

    1. Kufirisika ama kufukuzwa kazi hasa ukiwa 40s na huna assets wala skills za kukupiga jeki. 2. Kupotelewa kwa mtoto ama mzazi (heri mzike mjue kapumzika sehem flan kuliko kupotea) 3. Kesi baada ya kesi yani kushinda mahakamani
  3. Alex Ngereza: Simba wameenda kupoteza pesa Zanzibar

    Mchambuzi wa masuala ya kabumbu Alex Ngereza ametia neno kuhusu kambi ya Simba walikoweka Zanzibar:- "Sijaona sababu ya Simba kwenda kuweka kambi Zanzibar kwasababu zimebaki siku chache kuelekea mchezo dhidi ya Al ahly lakini pia wapo baadhi ya wachezaji muhimu hawapo wameenda kuzitumikia timu...
  4. Mashabiki wa Simba acheni kwenda uwanjani mkiwa na matokeo mfukoni ya ushindi. msije mkashangazwa, Jwaneng hana cha kupoteza na wala hana presha

    Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
  5. E

    Maandamo yasiyo na focus wala msimamo ni kupotezea Muda wananchi .

    Wakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki . Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na wala hayapeleki ujumbe wowote kwa serikali ni upotevu wa Muda . Cdm jitafakarini
  6. Je, ni vema kukata tamaa baada ya kupoteza $20 kwenye biashara?

    Wakuu . Naombeni ushauri juu ya biashara gani nifanye sasa , yaani side hustle. Kwenye moja ya uzi hapa jf kuna thread ya "Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)" Akaeleza kitu kimojawapo ni kuangalia hobby yako. Binafsi mimi ni mtu ambaye hupoteza sana...
  7. Kigwangalla: Serikali haiwezi kukuletea mabadiliko kwenye maisha yako, kuilaumu ni kupoteza muda tu

    "Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
  8. Utafutaji maisha ndio chanzo kupoteza mahusiano, marafiki, ndugu na wapenzi

    Harakati za kutafuta huku na huku zinatufanya kupoteza watu wengi kwenye maisha yetu usitegeme usafiri mbali kutafuta maisha alafu mpenzi wako utadumu naye. Maisha ya utafutaji ni kipingamizi tosha cha kupishana muelekeo, mtazamo na n.k. Hivi konde boy anaweza kumrudia demu wake wa Mtwara au...
  9. HAMAS wakiri kupoteza magaidi 6,000

    Japo inafahamika wamekufa wengi, ila wao wamekiri waliouawa ni 6,000 yaani mabikira yanapelekewa moto... A Hamas official based in Qatar told Reuters that the group estimated it had lost 6,000 fighters during the four-month-old conflict, half the 12,000 Israel says it has killed. =============...
  10. Kupoteza Kesi ya Madini ya Nikeli Kunagharimu Taifa dola milioni moja kila mwezi

    Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia. lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
  11. Israel inazidi kupoteza ushindi katika mipaka ya Lebanon Kichapo ni cha Moto!

    Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali sana siya rocket wala ya Drone hali ni tete sana! tazama sasa hivi Live Hapa Kichapo wanachopewa...
  12. Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    leo hii katika suala la kuoa inashangaza sana wakristo wakiwa wanapiga vita kubwa sheria ya mabinti wenye miaka 15 kuolewa kwamba inaendana kinyume na ukristo. Utamaduni wa israel katika uliwachambua mabinti katika makundi matatu NA’ARAH ( נַעֲרָה ) - huyu ni msichana ambae bado hakufikia...
  13. Uahirishaji wa kesi ni chanzo cha kupoteza muda na fedha kwa wananchi

    Je, kesi mahakamani inachukua muda gani hadi kusikilizwa? Hili ni suala linalomkabili mama mmoja mkazi wa Kawe ambaye alinunua kiwanja Mapinga kutoka kwa bodaboda mmoja anaemwamini. Hata hivyo, alipokwenda kuangalia ardhi hiyo, aligundua kwamba kuna mtu tayari ameshaanza kujenga, na baadaye...
  14. Kauli Bora Kutoka Kwa Mwanasimba LiaLia Baada ya kupoteza Fainali ya Mapinduzi

    Tusichoshane jisomeeee mwenyewe. Halaf shusha Reply unamuonaje huyu mtu ana maumivu kiasi gani? Na kasema hili kwa ukweli wa asilimia ngapi?
  15. T

    Nipo na mawili kwenye kichwa; kisimbuzi au pesa na vyote sitaki kupoteza

    Mambo vipi wakuu kwema habari za siku ya mwaka mpya mmeanza vema, sawa sawa sasa mi nina ka jambo nimekaleta nipate ushari, Hivi kati ya Azam na Star times wapi wapo vizuri pia kuhusu vipindi vyao, matatizo yao, nk. Kwa upande wangu mimi natumia star times, ila baada ya Google nikaona na Azam...
  16. I

    Home theater inasumbua kupoteza twiter nakubakiza bass tu

    Habari za jioni ndugu zangu, naomba msaada mwenye kuelewa hili ninashida na home theater yangu inatatizo lakupoteza sauti nakubaki na bass tu peke yake pindi ntakapoweka sauti kuanzia 16 sauti inakata kabisa mwenye uelewa na hili anisaidie tafadhali. Ni sony home theater watt 1000
  17. Biden amekatishwa tamaa ikiwa anaamini "wameanza" tu kupoteza uungwaji mkono, walipoteza uungwaji mkono muda mrefu uliopita

    Wanaukumbi. https://x.com/qudsnen/status/1734635313849397334?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw Mambo yameanza kuwa magumu kwa Israel na Marekani hali tete baada ya Marekani kumtekeza Israel wameanza kushtuka hawafahamu hatina ya vita wanauwa raia wasikuwa na hatia na Hamas ndiyo kwanza wanaanza...
  18. Ripoti: Kodi na Tozo zimesababisha Wafanyakazi 70,000 kupoteza Ajira

    Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19. Pia, FKE imesema Sekta...
  19. CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  20. R

    Zipo taarifa kwamba walioshirikiana na Naibu waziri wa Sheria kufanya ukatili wamekimbilia nchini Kenya kujificha kupoteza ushahidi

    Nimeona taarifa kutoka mitandaoni zikieleza kwamba walioshirikiana na Mbunge wa Babati kwemwekea kijana wa Kitanzania chupa Makalioni wamekimbia na kwenda kujificha nje ya nchi kwa maelekezo ya Naibu waziri. Lengo la watuhumiwa kutoroka nikukwepa kuhojiwa kwa madai kwamba kesi inayofuatiliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…